Search results

  1. F

    Waziri Kigwangalla: Walishindwa kuniua wakati ule! Naingia vitani kwa silaha zote na vita ni asili yangu

    Nadhani ungetueleza ukweli wa zile tuhuma tungekuelewa lakini hapa unaonekana unatuomba tukuonee huruma na mwisho tukuogoe. Upo ktk utumishi wa umma tueleze kwa jinsi gani zile tuhuma sio kweli. Tuna haki ya kujua ukweli na sio huruma Sent using Jamii Forums mobile app
  2. F

    Vyama vya wafanyakazi vimekosa tija kwa sababu ya kuongozwa na makada wa CCM

    Nadhani ile sheria iliyowekwa kwa ajili ya TLS ifanye hivyo kwa TUCTA pia
  3. F

    Watu wa Kurugenzi ya Habari Ikulu hawana uwezo, walilipwa fadhila

    Na hasa ukizingatia wale ni wabakaji na walawiti sidhani habari yao inafaa kutangazwa kokote
  4. F

    Special appreciation to Special operative-Prof Mruma!

    Nampongeza kwa kuweza kuruhusu tupigwe kwa nia ya kulisaidia Taifa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. F

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    The unknown people Sent using Jamii Forums mobile app
  6. F

    Kukamatwa kwa bombardier yetu, nahisi lina uhusiano na makinikia ya Acacia.

    Nasikia mikutaniko ya hadhara kupeana taarifa imezuiwa. Na ile iliyoruhusiwa wanapangiwa cha kuongea ili serikali isieleweke vibaya kwa wasikilizaji. Najiuliza hivi hii mikutaniko ingekuwa ruksa Wasemaji wakuu wasingepangiwa cha kusema, tungesikia mangapi? Haya machache yanasumbua kiasi...
  7. F

    Itashangaza sana kama bado Lowassa na Sumaye wanaendelea kupokea masurufu ya Ustaafu

    Kawaida ukitolewa Marinda yanaondoka na akili
  8. F

    Tanzania chini ya Rais Magufuli itaimarika kiuchumi, kidemokrasia na Utawala Bora

    Huwa sielewi sometimes unakuwa kama msomi, mwelewa ila sometimes unakuwa kama unajipendekeza, tena sometimes unakuwa kama mwehu. Sasa hiki unaandika huku ukijua hakiwezekani kiKatiba, nikuweke kundi gani kati hayo hapo juu?
  9. F

    Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Tanzania ni tajiri
  10. F

    Arusha: Mpaka wa Kenya na Tanzania, Namanga wafungwa

    Acheni kuandika habari kama hizi mnatutia hasira sie. Hamna uhuru to that extent... Watch it!!!
  11. F

    Sikutegemea kama mdogo wangu Nape naye angelimia meno, wengi mjiandae

    Ipo siku tutashangaa kusikia na wewe unalimia meno. Hakuna aliye salama, Nape na wewe unadhani ni nani aliyemsifia?
  12. F

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba: Naagiza aliyemtolea bastola Nape Nnauye, achukuliwe hatua

    Tatizo hatutajua kitacho fanyika. Hapo ndo mwisho Wa story kaka
  13. F

    Wanasheria msikubali TLS ikanajisiwa

    Iwapo wanajeshi wanapewa ukuu Wa Wilaya na Mikoa, iwapo mwanajeshi anaongiza idara nyeti ya CCM. Iwapo naibu mwanasheria mkuu Wa serikali anateuliwa kuwa mbunge kwa tiketi ya CCM Iwapo naibu mwanasheria mkuu toka mhimili uliojichimbua chini zaidi ya yote anakwenda kuongoza mhimili Wa bunge la...
  14. F

    Uongozi ni kipaji siyo vyeti hata Dr Slaa hana degree!

    Hapa tunaongelea swala la kughushi vyeti sio talanta ya uongozi
  15. F

    Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Wameajiriwa na Manji nyumbani kwake au wameajiriwa na Quality group? Nani ana shitakiwa hapo? Wajuzi wa sheria mtuweke wazi
  16. F

    CUF wanatuma salamu kwa UKAWA kwamba katiba za vyama vyao ni mbovu kuliko ya jamuhuri

    Najutia mda nliotumia kusoma akili za kichwa nazi
  17. F

    Hivi majipu yameisha serikalini?

    Uchochezi huo, acha kuwachonganisha wananchi na serikali yao
  18. F

    KUB tekeleza hii ahadi yako kwa watanzania!

    Tusaidie utafiti kuhusu uchumi kama unashika au la
  19. F

    USHAURI: Rais Magufuli vunja ATCL. Anzisha Tanzania Airways ama Kilimanjaro Airways

    Kabla hatujamaliza kuhamia Dodoma na kulipa stahiki zote za uhamisho watumishi tunataka kustaafisha wafanyakazi na kuwalipa stahiki zao zote. Kisha tunaunda shirika jipya. Kwa nini tusibadili jina na kufanya kazi kwa taaluma zao? Hao walifanya zero kwa ajili ya uongozi. Badili uongozi, weka sera...
  20. F

    Serikali (TAKUKURU) yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar

    Hebu sheria tuweke kando, acha majaji na mahakimu nao wapumzike. Kesi zimekuwa nyingi sana. Hivi mtu akihukumiwa kabla ya kukamatwa na kesi haijafunguliwa hapo inakuwaje? Mie sielewi kama niko Tz nchi inayosifika kwa utawala bora
Back
Top Bottom