Search results

  1. Chipsi Mayai

    CCM iko hoi kiuchumi!

    Majangaaaaaa!!! Kila la heri mwigulu na fedha za walipa kodi....
  2. Chipsi Mayai

    Mzee Dude wa FUTUHI afariki dunia

    Wewe jamaa unaonekana hata shule ulipita kwa msaada wa mungai, 'key word' hapa ni kifo cha mzee Dude ww unauliza futuhi na maana yake, kama unaona kifo cha huyo mzee hakijakugusa kaa kimya kuliko kuweka utumbo hapa.
  3. Chipsi Mayai

    Vicent Nyerere: Ukimtumia polisi SMS ya 'tafadhali nipigie', atakujibu kwa SMS ya 'Niongezee salio'!

    Kwa hili kaka ni la ukweli, nina rafiki yangu ni askari polisi na tulikuwa wote karume akitafuta kiatu cha kazi, hii ni kweli 100%.
  4. Chipsi Mayai

    Hivi ndio vyuo vya kata vya Tanzania

    Wenyewe wanamind lakini ndo ukweli, ongeza na kingine KIU.
  5. Chipsi Mayai

    Ero Link Recruitment Agency - Scandal

    Wametumia hiyo nafasi pia kama sehemu ya ku-date na dada zetu kwa promise ya ajira. Wabaya sana hawa jamaa.
  6. Chipsi Mayai

    Serikali kugawa Tablets sekondari zote nchini. Utekelezaji umeanza!

    Inaweza kuwa sawa tu Maana nchi yetu haina mtaala wa elimu unaoeleweka, usije ukashangaa wanafunzi wa yombo buza wakatumia mtaala wa jamaica na wanafunzi wa tegeta wakatumia mtaala wa kawambwa na wanafunzi wa sikonge mtaala wa nyerere na wanafunzi wa tandahimba wakatumia mtaala wa mungai, this...
  7. Chipsi Mayai

    Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

    Duuuuuuh! Kumbe elimu ya znz inaweza kutoa waziri wa fedha...
  8. Chipsi Mayai

    Udom wamenfanya nimefukuzwa kazi....

    Bosi wako amevunja sheria za kazi
  9. Chipsi Mayai

    Mbunge Hamis Kigwangalla hatarini kuvuliwa uanachama CCM

    Hahahaaaaa! Kwikwiiiiii! Huhuhuuuu! Huyu jamaa aliye weka hii post nadhani ni mganga wa kienyeji kama mchawi, yaan huu ni wakati wa kulilia kubaki ccm badala ya kumshukuru mungu kwa kumwondoa kwenye dimbwi la majanga. Ccm hatariiiii, weka mbali na watoto.
  10. Chipsi Mayai

    UCHAGUZI: CCM Bunda yaelemewa na CHADEMA

    watanzania Tunadai uhuru kutoka ccm...
  11. Chipsi Mayai

    Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

    Ndoto za mchana hizo... Mura aongoze nchi.
  12. Chipsi Mayai

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Kwani hujui kama mwigulu alikuwa mfanyakazi wa BOT kabla ya ubunge? Kwani hujui kama mwigulu ni miongoni mwa wana mtandao wa EPA? Kwani hujui kama mwigulu ni miongoni mwa watu waliofanikisha hela kutoka BOT kwenda meremeta co? Ndo maana nachelea kusema tena kuwa mwigulu kaenda wizara ya fedha...
  13. Chipsi Mayai

    JK awapuuza Kinana na Nape: Mawaziri mizigo wapeta

    Jk ni mdhaifu sana hawezi kusukuma hiyo mizigo iondoke. Kinana ni jangili, nayeye ni mzigo. Nape nayeye ni gamba lisilo na mwili halisi ndani ccm yy ni CCJ.
  14. Chipsi Mayai

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Kapelekwa kuiba hela kwa ajili ya uchaguzi 2015, looooh kweli ccm imekosa watu.
  15. Chipsi Mayai

    Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    Zzk mbunge wa mahakama ya ccm na wachumba wao CUF
  16. Chipsi Mayai

    Mahakama kuu yaahirisha kutoa uamuzi dhidi ya Zitto

    Zzk ni kama shetani ktk himaya ya mbinguni au Yuda ktk kundi la Yesu. Lazima ang'atuliwe tuuu! Kwenda mahakamani ni kama kuwekewa mitungi ya gesi ili asife haraka wakati akijua kuwa kifo kiko palepale.
  17. Chipsi Mayai

    Kuna njama ndani ya CHADEMA

    Huyu dogo zzk mwisho wake umefika...
  18. Chipsi Mayai

    Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

    Lowasa sio waziri mkuu mstaafu, rekebisha kauli. Ni waziri mkuu aliyeshindwa majukumu....
Back
Top Bottom