Search results

  1. J

    Nunua godoro jipya, achana na lile uliloanza nalo maisha

    Alinunua babu mpaka mjukuu anatumia!
  2. J

    Dr. A. Paurine: Majibu kwa Chris Lukosi na propaganda zake dhidi ya CHADEMA

    Dr. Paurine pokea heshima yako mkuu. Mmmh! ila umetumia dozi kubwa sana kumnyamazisha ndugu. Lukosi kiasi naona hata maisha yake ya kawaida yameguswa. Nadhani atakuwa amepatwa na msongo mkubwa sana. Wakati mwingine jaribu kushusha kiwango cha fikra kwani unazungumza katika abstract level kitu...
  3. J

    Nipeni tofauti ya January Makamba na Deo Filikunjombe

    Exactly, that's very objective!
  4. J

    Ukitaka kujua viongozi wa kisiasa wamefanya elimu yako kuwa ya kichina jibu swali hil

    Hey father, what is my ordinal position of birth? LOL! lugha gongana!!
  5. J

    Mlikuwa mkiitaje enzi zenu?

    Respect mkuu Sikonge. Tuliita INYALI, MANYALI ni wingi wake.
  6. J

    Kwa Makamanda wote walioko Sikonge - Tabora!

    Mkuu Sambali nashukuru sana. Sasa tunahitaji nguvu zaidi kwani hapa Mkolye akina Sambali mko wengi sana. Nadhani hata huko KILOLELI wapo pia. Hivyo hamasisha jamaa zako walioko KILOLELI kwani kura zao ni muhimu sana katika kuhakikisha ushindi. Makamanda karibuni sana Mkolye kama ni matunda...
  7. J

    Kwa Makamanda wote walioko Sikonge - Tabora!

    Asante Mkuu Osaka. Japo Mpombwe si jirani na Mkolye, nitajitahidi kufikisha salamu na kuunganisha nguvu kwa ajili kwa ajili ya vita hii ya kuyeyusha fikra mgando kwa wakazi wa Sikonge. Karibuni Makamanda wote kwani huku Sikonge tunawahitaji sana.
  8. J

    Kwa Makamanda wote walioko Sikonge - Tabora!

    Mkuu Sikonge karibu sana Mkolye. JIWE la kuteleza 'isyenentelo' bado lipo kwani ni Landmark muhimu sana hapa kijijini. Na kwa taarifa tu, hilo JIWE ndiyo maana halisi ya ID yangu "Jiwe". Karibuni wote tuteleze kwenye JIWE huku tukiendelea kutafakari harakati za ukombozi wa fikra kwa watanzania.
  9. J

    Kwa Makamanda wote walioko Sikonge - Tabora!

    Asante mkuu Malata tuko pamoja na tunaendelea kutoa hamasa hapa Mkolye. Ndiyo maana tunatamani Makamanda wafike kutoa hamasa zaidi. Hii ndiyo twanga kote kote!
  10. J

    Kwa Makamanda wote walioko Sikonge - Tabora!

    Makamanda karibuni sana wilaya ya Sikonge. Nipo hapa kijiji cha Mkolye, basi wakati mkirejea makwenu msisahau kupitia hapa kutuamsha amsha!
  11. J

    UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

    Usiogope Mungu yupo pamoja nawe, afya yako ni chachu katika kuboresha sekta ya afya nchini. Umerejea muda muafaka, sasa hebu nawe "futurisha" na uweke wazi ukweli ili Watanzania wapate kuwa huru. So long Dr. Ulimboka!
  12. J

    You can chop ma money.......

    Kijana wa Ki Nigeria akivuta jiko lake... Hili ni jiko au jokofu????? Atiii...mmmhhh!! Vipi ulitegemea 'mchina'? Mengine 'outdoor' kulingana na msimu!
  13. J

    Rais Kikwete na mazungumzo na ujumbe wa CHADEMA

    Wajameni, isijekuwa ni mpango wa kuhakikisha tu Dr. Slaa nae anakwenda Ikulu kumuona Rais.
  14. J

    Vyandarua au mazalia ya mbu?

    Aah! Watu hawatumii vyandarua, kwani vinapunguza nguvu za kiume. Habari ndiyo hiyo!
  15. J

    Chadema wameliona hili?

    Kauli ya CHADEMA: Pipoooooooz!! Pawaaaaaa!!! Au "Nguvu ya umma". Huu muziki hata CCM wenyewe wanauimba bila kutaka. Upo hapo? Yaani CHADEMA wanakubalika kwa kauli zenye mvuto kwa jamii!
  16. J

    Mbunge wa CCM aumbuka kwenye jimbo lake (Maghembe)

    Mytake: Mbona sijamsikia akituma Salamu za Rambirambi za Tarime? Usihofu subiri kesho utasikia kwenye hotuba yake ya mwisho wa mwezi. Naona hii ndiyo pointi kuu pekee imeachwa makusudi itumike kwa ajili ya kulaani UPINZANI na kuwaasa WANANCHI kuzingatia sheria. Just stay tuned!!!
  17. J

    Nipe kasoro ya hii picha

    kipaza sauti cha TBC kiko taabani.... chali kabisa!!!
  18. J

    Haloo Mpenzi... Ndo niko kona ya mwisho hapa..

    Ha haa haa..!! yaani linakumbusha dogo mmoja pale alipoachia 'kubwa'. Basi ile yule jamaa kupiga ile tairi teke, dogo nae akuvuta pumzi kali na kuachia 'kubwa'. Basi namiye naripendaga pendaga hiro ritangazo!!
  19. J

    Kauli ya tucta dhidi ya hotuba ya jk leo

    Wadau hebu pateni hotuba ya TUCTA hapa
Back
Top Bottom