Search results

  1. Q

    Hii kesi unge shauri nini???

    -wajifunze kutokana na makosa yao ili wasirejee tena. -kama wana ujasiri wa kuachana basi nibora wakaachana, madhali mambo yashamwagika hadharani ,hiyo ndoa haitokuwa na raha na heshima mbele za majamaa na marafiki, kwa lugha nyengine itakosa baraka za kupendezesha katika jamii ambayo itapelekea...
  2. Q

    ahsanteni wana jukwaa hili.

    ilikuwa project fulani ambayo ilizingatia kutathmini mambo yanayochangia kuvunja ndoa katika jamii za kileo, iliandaliwa na umoja fulani wa NGO(jina kapuni), na mimi nikiwa mmoja wa wahusika, na bado inaendelea lakini katika hatua za awali imefanikiwa. msaada wenu ni wa kushukuriwa sana. quiet
  3. Q

    ahsanteni wana jukwaa hili.

    teh teh teh! FL1 , kumbe hujasahau?, zawadi ipo lakini rais hatokasirika akiona vijizawadi vya quiet? (joke). BTW nimefurahi pia kwa msaada wenu. tupo pamoja. quiet
  4. Q

    ahsanteni wana jukwaa hili.

    habari zenu waungwana? nitakuwa mwizi wa fadhila kama sitotoa shukrani zangu kwa msaada wenu. ahsanteni sana kwa kunisaidia kuikamilisha ile project ya , sumu ya ndoa ni...... , nina furaha kukwambieni kwamba imefanikiwa na jf ndio sehemu ya mafanikio yake. ahsanteni kwa wote walioshiriki na...
  5. Q

    Tujifunze kuficha siri za majumbani mwetu

    ni thread muhimu sana katika kuokoa ndoa. nimeshuhudia ndoa kadhaa zilizokuwa na mapenzi, zimejikuta zikianguka na kubomoka kutokana na hii kadhia ya mwanandoa kupeleka mashtaka yake mahala pasipostahiki. tubadilikeni jamani. quiet
  6. Q

    Jina la mtoto...

    jina ni kitambulisho muhimu kwa mtoto atakapokuwa. jina baya litakuja kumfanya mtoto ajiskie hata aibu kujitambulisha kwa wenzake wakati akiwa mkubwa (hasa katika zama hizi za kujikweza), ni vyema wazee wakakaa kitako na kutafuta jina ambalo atakuja kulifurahia kuitwa mtoto wao akiwa mkubwa...
  7. Q

    maajabu ya wanawake katika mapenzi

    kutokumfahamu mwanamke ndio kumfahamu kwenyewe.
  8. Q

    Mama anasema nioe wa zamani

    mwanandoa anaemuogopa Mungu ndie mwanandoa unaeweza kumuamini zaidi kwa ulimwengu wa leo, kwani anaogopa na huku akiitakidi kwamba aanalofanya Mungu anamuona ,kwahiyo ni tabu kukuendea kinyume hata pale anapokuwa mbali na upeo wa macho yako. hivyo kama umepata nafasi ya kupendwa na anaemuogopa...
  9. Q

    ushauri wapendwa si mimi ni ...

    kaka chrispin. nakubaliana na wewe kwamba wapo wanywaji ambao wanaweza kujidhibiti na unywaji wao, lakini tukiangalia tathmini za kilimwengu hususan nchi zinazoweka tathmini kama za ulaya magharibi na marekani utakuta kwamba mahusiano mengi yanavunjika mwisho wa wiki baada ya unywaji. na...
  10. Q

    Ze Comedy: Idea zimekwisha!

    hawa jamaa bila ya kuwavunjia heshima lakini pia waliijengea tanzania taaswira mbaya kidogo kwavile kujifanya kama wanawake ambapo wengi wa wasiowajua (mataifa ya nje) wanawachukulia kama mashoga. niliwahi kuona comment moja inayohusiana na video yao nadhani kwenye you tube(sikumbuki vyema)...
  11. Q

    Harusi ni harusi hata bila kuvaa shela!

    mbona wamefanana sana?
  12. Q

    ushauri wapendwa si mimi ni ...

    pombe ni mama wa maasi, mwambie aitishe kikao na wazee atoe dukuduku lake na mume ashauriwe kuacha pombe haraka iwezekanavyo. kama mume hatoweza kuacha pombe basi ni vyema hiyo ndoa ikavunjika. kwasababu mlevi kama huyo anaweza hata siku moja akaja kumdhuru mke wake au hata kumuuwa bila ya kujua...
  13. Q

    Msaada

    ni tabu sana mwanamke kuweza kujiamini kumtumia msg mume wa mtu kama hujamuonesha udhaifu fulani. kama sio hivyo basi inawezekana kafanya maksudi ili kukutia kisirani na mke wako. ushauri: kama ni kweli huna makosa wala mawasiliano na huyo mwanamke basi hudhuria kikao na elezea uaminifu wako kwa...
  14. Q

    it is not fair.

    hayo ni maradhi fulani ambayo wanakuwa nayo wengi wa wanaume. wakikutana na wanawake na kulegezewa sauti basi utawakuta wanasahau majukumu yao na uadilifu wa kikazi. ulipaswa kumfuata na kumueleza kwamba alivyofanya sio vizuri. quiet
  15. Q

    One Whipped Boyfriend

    haya ndio mapenzi au love au mahabbat?
  16. Q

    Please Darling!

    duh! jamaa kweli kamchoka mkewe. teh teh
  17. Q

    Nimegoma....

    kaka ,pole sana na matatizo. kosa ulilofanya: ulimchunguza mkeo bila ya kuwa na maamuzi mkononi. (yaani je nikimfuma kama ananiendea kinyume nitachukua hatua gani?) hapa hakuna ushauri bali kuna maamuzi , na muamuzi ni wewe, je unaweza kumsamehe na kuishi nae katika hali kama hiyo au...
  18. Q

    Wenzangu hii mnaionaje?

    kaka, kama mwanamme mwenzangu ningekushauri uwe mwangalifu sana na hiyo hali.Ni dhahiri kwamba huyo mkeo keshakujua kwamba unampenda kwahiyo anajifanya mkali ili wewe umridhie analotaka na ukimridhia kwa hilo ina maana unampa mwanya huyo bwana wa zamani kuwa na mawasiliano na mke wako...
  19. Q

    Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

    popote tulipo, sote tunabaki kuwa watumwa wa fikira zetu. quiet
  20. Q

    tuvikabili vishawishi au tuviepuke?

    ni usiku mkubwa, ghafla nilishtushwa na ndoto mbaya kichwani mwangu, niligeuka kulia na kushoto kutafuta usingizi lakini kwa bahati mbaya nilishindwa. nilielekea jikoni kupata kikombe cha chai na ghafla kuna suali likabisha hodi ndani ya kichwa changu , nilijaribu kulipuuza lakini halikusita...
Back
Top Bottom