Sasa kama linaweza kujua kuhusu ajali kwanini liende kujigongesha this is crazy. Kwanini lisirudi lilikotoka kikwepa hiyo ajali? Hawajui lolote hao wadanganyifu tuu.
Huo ni utabiri tuu kama unajua nini maana ya utabiri let the man do so sio kwamba ataenda kumuua huyo mtu ili maneno yake yawe sawa yeye katabiri kama jaumuamini usimsikilize
Sasa nyie mnataka afanyeje wakati mnapeleka sadaka unaccounted for an audited huku serikali inampa tax examption? Siku hizi building or starting a church is lik starting a company or an ngo.
Kama hakutakuwa na watu wanayafanyia audit mahesabu ya haya makanisa people should expect more than hammers
The problem is i loved my ex wife untill i married her
then love was lost and i found lost instead
i was lost for three years till i divorce her
then lost was lost again and i found sorrow
now i live with it
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.