Search results

  1. D

    Namanga: Madereva 23 toka Tanzania wazuiliwa kuingia Kenya baada ya kukutwa na COVID-19

    Nadhani Kenya wanatumia vipimo vya mabeberu! Haiwezekani wa Tz wakutwe na Coronavirus ugenini🤔🤔🤷‍♀️
  2. D

    RC Makonda: Idadi ya maambukizi imepungua Dar, kuna watu walinunua majeneza na kupiga picha ili kuzua taharuki

    Halafu unajiuliza, idadi ya wagonjwa wanajua kweli hata waseme maambukizi yamepungua. Wehu wa kutisha huu. Duuh hatari.
  3. D

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    HATERS! SIKUZOTE WANAHARIBU MADA:angry:
  4. D

    Paul Chizi wa ATCL asimamishwa kazi

    Captain Lazaro pia yuko kwenye Aviation Industry tangu defunct East African Airways. Kwahiyo si mgeni kwenye aviation industry! Ninaamini anao uwezo mkubwa tu.
  5. D

    Mattaka amfungulia Mkewe Bureau De Change Ofisi za ATCL

    JF, Kama ulifuatilia kulikuwa na habari kwenye magaze wiki iliyopita, yakidai kuwa "wafanyakazi wa Air Tanzania" hawaitaki Menejimenti na wameishauri Serikali iondoe menejimenti haraka! Wasijue kuwa hawana wadhifa wa kuiamuru Serikali wala hawajui mipango ya Serikali juhudi zao ziligonga mwamba...
  6. D

    Tundu Lissu nae!!

    Hivi summons alipata kwa sms au karani wa mahakama limfuata bungeni?
  7. D

    Ni kweli Anna Makinda ni 'Mbabe'?

    Ukiwa na wabunge wanao behave kama watoto wa chekechea unatakiwa uwa handle vipi? She was right and firm - Tukubali kukosolewa kila taaluma ina sheria na misingi yake, Spika ndani ya Bunge ni Mmoja tu!:A S angry:
  8. D

    Sophia Simba hajui kiingereza?

    Well presented, chuki binafsi zinafanya mijadala inakosa thamani!
  9. D

    Joseph Kussaga na ufisadi wake katika entertainment Tanzania

    Nawewe pia usikurupuke na kumchagulia staili ya kujieleza, mpe nafasi mwache atueleze kwa staili yake, kama ni ya maswali na majibu
  10. D

    Mramba: Another Challenge!

    Mraba should be ashamed of himself to even think of asking poor Tanzanians to allow him to lead them!
  11. D

    Vituko vya Air Tanzania: The wings of kilimanjaro!

    Mtiririko wa malalamiko yako ndugu ni wa nyati aliyejeruhiwa, Tumezikamata nyeti ulifukuzwa kazi kwa wizi wa tiketi na vyeti vya elimu feki, sasa una hasira na Menejimenti ya ATCL ile mbaya, pole eeh rudi shule acha uzushi!
  12. D

    Vituko vya Air Tanzania: The wings of kilimanjaro!

    Mwanahalisi a.k.a. ABUNUASI una data za uzushi za ATCL!! Walikufanyaje hasa Mattaka na JK?
  13. D

    Tanzania's phone taxes highest in East Africa

    No wonder the mobile phone companies are able to have so many promotions and offer many give aways! They feel guilty after reaping off poor Tanzanians. the Government should step in and rescue this hopeless situation!
  14. D

    Ndege ya ATCL Yapata Kizaazaa Mwanza

    Uzembe ni pale ambapo rubani anapewa tahadhari na waongoza ndege, anadharau na kuleta maafa.! Rubani kabla ya kutua hawezi kujua "runway" ni salama au la, bali anategemea ushauri wa waongoza ndege "control tower" Shakazulu usiwe mwepesi wa kutoa lawama!
  15. D

    Ndege ya ATCL Yapata Kizaazaa Mwanza

    Thanks Byasel kwa kuweka sawa ili, maana ukweli ni kuwa ndege haikuanguka
  16. D

    Kigogo aingiza kampuni yake ya ulinzi atcl

    Ukiisoma tu "hadithi hii" unajua mtuzi wake ni "abunuasi" aliyetimuliwa ATCL kwa hiyo anajitahidi kupaka Menejimenti na JK matope, Story haina kichwa wala miguu, na jinsi Abunuasi huyu alivyojaribu bila mafanikio kumburuza JK kwenye hadithi yake isiyo na mvuto. JF watoa shutuma kama hawa...
  17. D

    Waumini wa Kakobe kutimuliwa alfajiri ya leo!!!

    Kwenye hili la wakristu kuonewa? Mmh do your homework usitutoe nje ya mada!
  18. D

    Marubani wa ajali ya Ndege ya ATCL wanaitaji Kupewa pongezi

    Naunga mkono mia kwa mia wazo hili, ukitilia maanani jinsi walivyo jitahidi na kunusuru maisha ya abiria wote! Nina imani rubani awapo angani, hana macho wala masikio, macho yake na masikio ni ushauri kutoka "control tower" iwapo watamwambia uwanja ni salama basi rubani hana budi kufuata...
  19. D

    Fisadi mwingine huyu

    Arudishe feza yetu aliyochotewa BOT, aah wanaudhi kweli hawa, sasa anaona bora ajipendekez pendekez tu
Back
Top Bottom