Search results

  1. M

    The question of ‘evidence’ of God’s existence

    You use abusive language. Since such language does not make for profitable discussion, there is nothing more to say.
  2. M

    The question of ‘evidence’ of God’s existence

    Whether you believe the Bible or not, it makes one thing very clear in its teaching - namely, that neither outward ‘evidence’ (miracles) nor intellectual argument will truly persuade anyone of God’s existence. Though I may sympathise with those who seek to ‘prove’ God’s existence in these...
  3. M

    One-word translation of the word RITUAL into Kiswahili

    Thank you, but Ibada would basically translate as 'worship' in English, so it is too general - unless you add more words to give the context. For example, if I say 'It's just a ritual', and you translate this as, 'Ni ibada tu', then you have totally lost the meaning and point of the English...
  4. M

    One-word translation of the word RITUAL into Kiswahili

    Thank you, but tambiko seems mainly to refer to animal sacrifices according to the dictionary, so it misses the mark. It seems 'ada' or 'kaida' given by the Chief Editor above comes closest.
  5. M

    One-word translation of the word RITUAL into Kiswahili

    Thank you, but mila (like desturi) translates as 'custom' in English and would not be specific enough for 'ritual'. It seems 'ada' or 'kaida' given by the Chief Editor above comes closest.
  6. M

    One-word translation of the word RITUAL into Kiswahili

    I came across both these words (kaida and ada) but wasn't sure if they could be used in this context. So thank you for the clarification!
  7. M

    One-word translation of the word RITUAL into Kiswahili

    Can anyone please help me with the translation of the word "ritual" into Swahili? I am thinking in the meaning of religious ritual. For example, priests in the Old Testament had to wash before offering sacrifices. This necessary act of washing would be called a' ritual'. Washing is also a...
  8. M

    Msaada wa soft copy ya kamusi ya TUKI wadau

    Asante sana kwa maelezo!
  9. M

    Naomba tafsiri ya sentensi, 'Baba mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kwenye familia?' kwenda lugha ya Kiingereza

    This is not so easy to put simply, but here are some possible examples for this question: Dad, what number child am I in the family? Dad, where do I come in the family? (In this question the context for the question is already understood). Possible answers: You were the second-born. / You...
  10. M

    Msaada wa soft copy ya kamusi ya TUKI wadau

    UNAWEZA KUDOWNLOAD KAMUSI ENGLISH TO SWAHILI NA SWAHILI TO ENGLISH KUPITIA LINK IFUATAYO: https://somabiblia.com/kamusi-dictionary-swahili-english-swahili/ www.somabiblia.com
  11. M

    Mwenye kamusi ya Kiswahili- Kiingereza

    Unaweza kupakua Kamusi English to Swahili na hata Swahili to English kwenye tovuti yangu kwa link ifuatayo: https://somabiblia.com/kamusi-dictionary-swahili-english-swahili/ David Stamen www.somabiblia.com
  12. M

    Kamusi ya TUKI: Kiingereza - Kiswahili/ Kiswahili - Kiingereza

    Unaweza kupakua Kamusi English to Swahili na hata Swahili to English kwenye tovuti yangu kwa link ifuatayo: https://somabiblia.com/kamusi-dictionary-swahili-english-swahili/ David Stamen www.somabiblia.com
  13. M

    Wajuzi wa lugha ya Kiingereza msaada hapa

    It is not the way of I would have chosen to convey those thoughts. However, the grammar of the sentence was so bad that the whole thing lost its meaning and needed complete re-writing. I was trying to give the intended sense of the original sentence (as I understood it), without totally...
  14. M

    Wajuzi wa lugha ya Kiingereza msaada hapa

    Spider, unalosema siyo kweli. Mimi ni Mwingereza nami nimefundisha lugha ya Kiingereza kwenye shule ya Kimataifa kwa wageni kwa miaka 30. Pia nilifundisha wanafunzi kusoma na kuandika academic texts ili wapite mtihani ya IELTS na Cambridge Advanced na Proficiency. Inaonekana kwangu shida siyo...
  15. M

    Wajuzi wa lugha ya Kiingereza msaada hapa

    Aidha, "Are commodities….." ni swali. Lakini jibu halipo. Kwa hiyo niliweka "If so,…" (Kama ni hivyo…).
  16. M

    Wajuzi wa lugha ya Kiingereza msaada hapa

    Hiyo sentensi haina maana. Ni machanganyiko kubwa ya grammar. Shida (au kosa) kubwa ni neno 'that' (Are commodities that...). Neno hili ni relative pronoun. Linahitaji subject nyingine au ni lazima kumaliza clause ya kwanza. Kwa mfano... "Are commodities things that satisfy our wants directly...
  17. M

    OSOTUA NGEJUK: Agano Jipya kwa lugha ya Kimaasai. Download

    'OSOTUA NGEJUK' 'AGANO JIPYA' KWA LUGHA YA KIMAASAI Unaweza kudownload / kupakua 'Osotua Ngejuk' kupitia link hapo chini: OSOTUA NGEJUK | somabiblia
  18. M

    Naomba msaada wa matumizi ya 'had', 'could' na 'would'

    'I could hear the cry'. 'the cry' ni noun, siyo 'verb' katika sentensi hiyo. The 'main verb' ni 'hear'; 'could' katika sentensi hiyo ni modal of ability. ('the cry' ina maana 'kilio). 'could' inaleta maana ya aina mbalimbali - inatumiwa kama a modal of ability, permission, possibility. 'I...
  19. M

    Jifunze English tenses kwa Kiswahili

    She cries every morning. (two words) I usually go to the shop. (word order) Adverbs of frequency go: 1. before the main verb: He always comes late. 2. after the verb 'to be': He is always late...
Back
Top Bottom