Search results

  1. D

    Magari

    Nitakucheki
  2. D

    A Husband and a Wife

    Jamaaani hahahahaaha
  3. D

    Pata website BURE Kabisa!

    Hello, Tumefanya marekebisho yote tukizingatia kila maoni ya kila mtu. Naamini sasa tunaeleweka zaidi. Bado tunapokea maoni maana ili tuendelee tunahitaji watu. Ahsanteni Sana.
  4. D

    Pata website BURE Kabisa!

    Tuliumizwa sana na enzi za 'zidumu fikra za nanihii' nashukuru sana kuwa sasa WaTZ tunachanganua mambo. Safi sana. Msisitizo wangu nauongeza katika kutenganisha 'usajili jina', 'hosting' na website designing. Na nimependa kila mtu ameona kwa namna yake, nasi tuliona kwa namna yetu. Ni wakati...
  5. D

    Pata website BURE Kabisa!

    Sitaki kuwa mbishi ila najua projekti yoyote ya website unapoizungumzia unaongelea kuitengeneza (gari) na kuiweka hewani (mafuta), mtu yeyote anayefanya kazi ya kutengeneza huwa si jukumu lake kuiweka hewani, ndio maana tunasema TUNAKUPA TOVUTI BURE, then hizo hosting fees na domain fees huwa...
  6. D

    Pata website BURE Kabisa!

    pamoja guys
  7. D

    Pata website BURE Kabisa!

    Tupo pamoja, Karibuni.
  8. D

    Pata website BURE Kabisa!

    ....tumeandika ghrama zozote unazoweza kukumbana nazo na mbona ipo wazi kuwa ili uwe na tovuti hatua tatu zinahitajika: Domain Registration (usajili jina) Kuitengeneza Tovuti Yenyewe, (the designed pages) Kulipia ada za kuwa hewani (Hosting) Kuiupload website na kuhakikisha ipo sawia kila mara...
  9. D

    Pata website BURE Kabisa!

    Sijakuelewa Balantanda. Uliza tu km una kitu ungependa kufahamu.
  10. D

    Pata website BURE Kabisa!

    Masanilo, I will prove you wrong, wala usijali just go on and order, be cheerful, hatutanii.
  11. D

    Pata website BURE Kabisa!

    Hello Wanajamii, Kama wewe upo Tanzania, sasa unaweza kupata tovuti BURE kabisa, tena tovuti ya kisasa kabisa (professional and static) itayotengenezwa kwa kujali misingi yote ya taaluma hii. Tovuti hiyo haitakuwa na Matangazo yoyote kutoka kwetu, na ukipewa inakuwa mali yako uamue kufanya nayo...
Back
Top Bottom