Yaani nimeangalia hii sijaona Tofauti yoyote kabisa na 1xbet. nimeweka mzigo nikapiga makasino nikajaribu kutoa ukatoka vizuri kabisa halafu wana option ya Tigo airtel na Voda
Kwahiyo walioweka pesa kwa simu na option imeondolewa tutatoaje? Naona hela ya Supu lakini kuitoa siwezi.
Hawa wameweka Masharti njia uloweka ndio hiyo hiyo ya kutolea
Jina lako liko wapi hapo chini?
15 January 2022
Taarifa toka makao makuu ya CCM Dodoma pia kutoka Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba na Afisi ya CCM Kisiwandui Unguja Zanzibar .
Wanachama wa CCM wanaotia nia kugombea nafasi ya uspika baada ya Spika Job Y Ndugai kujiuzulu January 2022 ni hawa wafuatao...
Deposit kwenye account ni kuanzia 5,500 nafikiri so deposit kwa wakala anzia hapo.
Shida wakati wa kutoa unapitia tena kwa wakala mnaanza kuzungushana kuhusu kuwa na cash au kutokua na cash.
Utamu wake ni kwamba ushindi wake hakuna makato yoyote yaani hakuna kodi.
betPawa customers win TSh53.8 Billion in space of 10 days
It’s been a record-breaking winning spell for betPawa customers in Tanzania, who won a combined TSh53.8 Billion in 10 days.
A remarkable 335,706 different customers celebrated wins during an unrivalled stretch of sports...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.