Search results

  1. Bukwabi

    Kuna Mke au Mume ukimuacha umekula hasara ya Maisha

    Wamebaki wawili tu wa aina hii, tafuta hela tu.
  2. Bukwabi

    Massage ni danguro lililochangamka

    [emoji3][emoji3][emoji3]
  3. Bukwabi

    Watengenezaji wa maji ya Kilimanjaro acheni kuyachakachua, mnaua brand yenu

    Ni kweli mkuu, yawezekana wao hawajui lakini hayana tena ule ubora kama wa awali. Labda yanachakachuliwa somewhere on the way? Au mtaalam wa PH alishaondoka? Kwa sasa tunajaribu sana kuyakwepa kwa kweli
  4. Bukwabi

    Masanja Malebo: Wanaume wa Kanda ya Ziwa wana nguvu za kiume

    Haswaa, ukikuta kuna watu wanatumia Vumbi la Congo wametoka nje ya kanda ya ziwa. Watu wa huku hakuna story za upungufu wa nguvu za Kiume
  5. Bukwabi

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mbona wanaume wengi huponea kwa Madada wa ndani. Tafuta hela, acha kuishi kwa sister [emoji6]
  6. Bukwabi

    Je, Aristotle ndie chawa tajiri Tanzania? Je, ni Mtanzania?

    Kwao ni mbeya. Hiyo lafudhi ni style tu ya kipekee kama Star
  7. Bukwabi

    Dhambi hii inaenda kuandikwa Kwa wino wa Chuma

    [emoji24][emoji24][emoji24]
  8. Bukwabi

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Uko sawa ,sasa wataolewa na nani wao? Ukimchunguza sana kuku huwezi kumla
  9. Bukwabi

    Yamenikuta ukweni

    Usimwache alikurudisha paradiso kwenye asili. Wengi wetu tunapenda vyakula vya mchongo[emoji16]
  10. Bukwabi

    Unatumia mbinu gani pale unapomwomba Penzi Mkeo halafu anakukazia bila sababu za Msingi?

    Nimecheka sana aisee! Wakupe maua yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  11. Bukwabi

    Juma Nature: Nina miaka 37 sijafika hata 40

    Uko sawa. Ameimba tukiwa secondary wakati sisi ni wazee leo. Apache hizo
  12. Bukwabi

    Ninampenda sana ila kwa hili sifikirii kama nitaendelea kuwa nae

    Bora huyo kafunguka. Wengi hufanya siri lakini ni wabovu zaidi. Labda kama hupendi ukweli lkn oa huyo, ni kama ametubu ila aanze upya
  13. Bukwabi

    Mjue James Hardley Chase, Mwandishi maarufu wa Vitabu vya Riwaya

    Upewe Maura Yako[emoji122][emoji122][emoji122]
  14. Bukwabi

    Mjue James Hardley Chase, Mwandishi maarufu wa Vitabu vya Riwaya

    Mimi nakumbuka title iliyonisisimua inaitwa "You are lonely when you are dead " Lakini nimesoma vitabu kama 40 hivi vya Chase
  15. Bukwabi

    Zawadi for my baby

    Nasubiri kumwekea mafuta, au siku akipata pancha tutasaidiana
  16. Bukwabi

    Mume wangu ananisaliti, Usaliti wake unashangaza

    Ngoja naye aje akutest kwa namba MPYA aweke picha za handsome boy halafu aliyeuziwa cheni bandia naye atoe pesa bandia Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
  17. Bukwabi

    Mume wangu ananisaliti, Usaliti wake unashangaza

    Mbona wanapenda kupigwa matukio. Wanaume waaminifu wana kazi sana Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom