Pascal Mayalla wewe ni mtu wa media, mwandishi wa habari, unalalamika kuwa media haimwulizi dr. Shika maswali serious, unacholaumu hasa ni nini ikiwa wewe mwenyewe ni media na hujafanya hivyo.
Zaidi sana unatulazimisha tuuu twende na intuitions zako badala ukachimbe utuletee first hand...
Tujifunze pia kupitia Dubai, imewezaje kuendelea kwa kasi sana katika kipindi kifupi??
Nini nafasi au mchango wa Demokrasia???
Mtazamo wangu mimi, katika nchi maskini na fukara zinahitaji individuals watakaokuwa "Masterminds" wa mchoro mzima wa maendeleo, waweke misingi ikibidi kwa mkono wa...
Kwani unaweza kusoma mkuu???
Ningeweza kukuwekea hapa reference za kusoma ujue ukweli lakini najua huwezi kusoma chochote kinachozidi page moja.
Jibu basi swali hili rahisi, Katiba ya Marekani iliandikwa na watu wangapi??
kwanza usitukane wala kutoa lugha za kashifa hapa;
Baada ya hapo kafanye homework yako juu ya nchi zifuatazo namna zilivyotoka kwenye umaskini;
1. china
2.korea kusini
3. Japan
4. Singapore
Na hizi zinazojitahidi kutoka umaskini sasa;
1.Thailand
2. Rwanda
Homework hii ikikushinda...
Umenikumbusha post yangu ya siku za nyuma;
Uendeshaji wa TAZARA sasa wakabidhiwa kwa Mchina
Watakuwa surprised zaidi wakigundua kuwa hakuna nchi iliyowahi kuhama kutoka umaskini kwenda utajiri kwa kupractice demokrasia tangu kumalizika kwa vita vya pili vya dunia, watashangaa zaidi wakigundua...
Wasalaam wakuu;
Tangu Rais wa jamhuri atangaze nia ya serikali yote kuhamia dodoma ndani ya miaka minne na miezi minne iliyobaki ya utawala wake, kumekuwa na hoja juu ya gharama za uhamisho huo na ikiwa ni muhimu kuingia gharama hizo wakati huu.
Kwa wachambuzi na watoaji taarifa kwa jamii na...
Rekodi za miaka 5 iliyopita ziko hapo juu....kisayansi kama unarudia kufanya kitu kilekile miaka yote then huwezi kupata matokeo tofauti. Cha msingi kutafiti ni kitu gani kibadilike kwa shule zinazofanya vibaya ili sasa zifanye vizuri. Hili si jambo la kuweka katika muktadha wa kisiasa...
Taarifa ya matokeo kidato cha 6 mwaka 2012
“Kwa shule zenye watahiniwa 30 au zaidi, sekondari 10 zilizofanya vizuri zaidi ni Marian (wasichana) ikifuatiwa na Feza (wavulana), Kisimiri, Kibaha, Ilboru, Mzumbe, Msalato, Tabora (wavulana), St. Mary's Mazinde Juu na Consolata Seminari.
Sekondari...
Taarifa ya matokeo kidato cha 6 mwaka 2013
Shule kumi (10) bora katika kundi la shule zenye watahiniwa 30 na zaidi
NA
JINA LA SHULE
IDADI YA WATAHINIWA
MKOA
1
MARIAN GIRLS S.S
158
PWANI
2
MZUMBE S.S
125
MOROGORO
3
FEZA BOYS’ S.S
59
DAR ES SALAAM
4
ILBORU S.S
171
ARUSHA
5
KISIMIRI S.S
50
ARUSHA...
Taarifa ya matokeo kidato cha 6 mwaka 2014
Shule kumi (10) bora
Na JINA LA SHULE IDADI YA WATAHINIWA MKOA
1 IGOWOLE S S 30 IRINGA
2 FEZA BOYS’ S S 60 DAR ES SALAAM
3 KISIMIRI S S 52 ARUSHA
4 IWAWA S S 39 NJOMBE
5 KIBAHA S S 167 PWANI
6 MARIAN GIRLS S S 138 PWANI
7 NANGWA S S 97 MANYARA
8 UWATA...
Taarifa ya matokeo kidato cha 6 mwaka 2015
Pmaoja na hayo Katibu Msonde alizitaja shule 10 bora zilizofanya vizuri, Msonde kuwa ni Feza Boys, Runzewe, Feza Girls, Sumbawanga, Ivumwe, St Marys’ Mazinde Juu, Vwawa, Kisimiri, Namabengo na Scolastica.
Kwa upande wa zile shule 10 zilizofanya...
Sijashuhudia hii kitu ila rafiki yangu mmoja mholanzi aliwahi kuniambia tu anaichukia JNIA kuliko airport nyingine yoyote duniani. Sikutaka kumhoji zaidi kwakuwa nilijua ni ubora wa uwanja wetu, ila kwa thread hii huenda basi hili likawa jambo
Shida iko pale pesa inapotumika pasipo kutafutwa kwa kuzalisha....huko US na nchi nyingine zilizoendelea karibu kila mtu anamiliki gari na matumizi mengine yanafanyika ila kwa sharti moja kuu, KAZI. Bila kufanya kazi na kujipatia kipato halali maisha hayaendi katika nchi hizo...ndio maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.