Search results

  1. K

    Serengeti yaibwaga TBL ‘kortini’

    hii ndio fundisho kwa wengine wote, TBL inabidi walipe billion 528 kwa FCC. HAO KINA KAVISHE NA MINJA WAKAJIFUNZE MARKETING SIO KUWAONEA WADOGO
  2. K

    TBL na Serengeti Bia

    halafu suala la kibo leo nimebahatika kuongea na jamaa wa kibo zamani, hebu tuangalia KIBO imeuliwa na nani? TBL au EABL? TBL walipewa KIBO na wakaiua within 24hrs watu wote SBL ikawachukua hii haikuwa kampuni ya kenya, wanatapatapa.na wakati huo kina mareale wlikuwa wanaongoza kuchafua bia za...
  3. K

    TBL na Serengeti Bia

    tena wanatumia lugha chafu kwenye tangazo mi nawashauri sbl wafikishe tena suala hili kwa FCC na baraza la habari la taifa kwa vile tangazo linachochea vurugu na kuhatarisha amani. na kwa hili tangazo hawa wenye baa ndio wamkubali kabisa na wamethibitisha kununuliwa. hebu tujiulize hawa wenye...
  4. K

    TBL na Serengeti Bia

    Serengeti serengeti , muda umewajia na raha zianzeeee, furaha na chui chui, rafiki wa marafiki yeaah! Mshkaji wa washkaji...chui chui mezaniiiii.... Serengeti serengeti ....serengeti serengeti...hilo ndio tangazo jipya la serengeti
  5. K

    TBL na Serengeti Bia

    na jana wameenda lillies pub msasani , nguruko mbezi wamengoa matangazo yanayowaka wakamuoffer meneja 30elfu akakataa wakangoa meneja akalichukua akaliweka yaani hawa watu wamedhamiria kweli inabidi serikali
  6. K

    TBL na Serengeti Bia

    na jana nilikuwa hongera baa sinza hamna, tukaenda topland bar magomeni hola, tukahamia highway bar nako patupu kasheshe hupati Chui kafichika! ila nafikiri akitoka huyu chui atauma sana watu. Chuiiiiiii uko wapi
  7. K

    TBL na Serengeti Bia

    now you guys are talking mimi nafikiri tuanzishe kampeni maana watu wakikosa bia kwenye baa moje watahamia kwingine. TBL inabidi waende shule kujifunza jinsi ya kusoma alama za nyakati. wakati wa apartheid umekwisha maana huu ukaburu ndio walikuwa waiitumia kabla ya uhuru wa SA. inabidi...
  8. K

    TBL na Serengeti Bia

    yaani hawa tbl badala ya kupambana kimasoko eti wanango'a mabango ya sbl, wanahonga manager kwenye mabaa hela kedekede huu si ufisadi? inabidi pccb waambiwe wachunguze hii rushwa kwenye bia. SBL wao ni marketing kwa kwenda mbele na kibia chao kimoja sasa watakapoungana na EABL itakuwaje si TBL...
Back
Top Bottom