kama wana-forum mnakubuka Mama Mongela alishawahi kugusia issue hii bungeni wakati fulani, kipindi cha Mkapa. Kama sikosei alishauri kuwa uteuzi wa viongizi wa nafasi ungekuwa unafanyiwa scrutiny bungeni(Rais angependekeza). Umuhimu wa mawazo ya huyu mama yetu sasa nafikiri kila mtu anauona. By...
Huu ndiyo wakati mwafaka wa vyama vya upinzani(kama vingekuwepo) kuonyesha nguvu yake. Vijifunze kutoka Georgia, Ukrain, Serbia, n.k.
Hakuna nguvu inayoizidi nguvu ya umma. Wananchi wakipata viongozi wazuri
wa vyama vya upinzani(vyenye nia njema na TZ) wanaweza wakabadilisha hata mikataba...
Ndugu wana-forum hivi viongozi wetu watajua kuwajibika kwa wananchi lini?
Au ndiyo yale yale ya kudanganyana majukwaani? Walalahoi na wenye uchungu na ile nchi nafikiri mtaniunga mkono kwa hili.
Kinachojionyesha sasa ni kwamba tuna kopi za akina Sumaye, Kigoda kwenye hili baraza la mawaziri la...
Mimi nashangaa sana. Hivi India na Pakstani zina tofauti gani na Iran au North Korea.
Au simply because Iran and North Korea are not ready to KISS America's ass?
Mimi nawaheshimu sana viongozi wa Iran na North Korea. Wanalinda heshima na maslahi ya nchi zao. Tunataka JK agangamale kama...
Mimi nashangaa sana. Hivi India na Pakstani zina tofauti gani na Iran au North Korea.
Au simply because Iran and North Korea are not ready to KISS America's ass?
Mimi nawaheshimu sana viongozi wa Iran na North Korea. Wanalinda heshima na maslahi ya nchi zao. Tunataka JK agangamale kama...
Magazeti yameandika kuwa mikataba ya madini inatamka wazi kuwa kila mwekezani anatakiwa kuchangia dola za kimarekani laki mbili na arobaini elfu ( 240,000$US ) kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wanoishi eneo lenye mgodi. Sasa mimi najiuliza kwanini serikali iliyopita haikuliweka wazi hilo...
Haya ndugu zangu. Aibu kubwa ndani ya CCM.
Wabunge wanahojiwa kwa kufoji vyeti vya Elimu.
Sasa huu ni wakati mwafaka wa kuwaanika wote wa aina hiyo.
Nakumbuka kuna ndugu mmoja aliwahi kutoa orodha ya wabunge
na vigogo wanaojiita madaktari(wana PhD). Naomba wamwagwe hapa kijiweni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.