Search results

  1. K

    Germany shepherd puppies wanauzwa

    Hizo hapo. kikubwa ni kuja kuwaona ndio unajihakikishia zaidi. picha naweza hata kudownload nikakuwekea.
  2. K

    Germany shepherd puppies wanauzwa

    Habari zenu members? Nauza pure GSD puppies. Kwa mawasiliano 0717123464
  3. K

    Germany shepherd puppies for sale

    mambo vipi wana jf? Nauza mbwa pure germany shepherd puppies wamezaliwa trh 29,july, 2015. Bei ni 500,000/= kwa mawasiliano 0717 123464 karibuni
  4. K

    Nyumba inapangishwa tabata

    Bado ipo mkuu. Karibu.
  5. K

    Nyumba inapangishwa tabata

    kwa unit moja hiyo. Na ndio hiyo moja iliyobaki. nyingine ina mtu tayari.
  6. K

    Nyumba inapangishwa tabata

    Kaka Bribaki kama kusoma tatizo, hata picha huoni? Inabidi ukaangalie sasa uone vizuri.
  7. K

    Nyumba inapangishwa tabata

    Habari wa JF! Napangisha nyumba ni units mbili. Unit yani upande mmoja una vyumba viwili, jiko,sebule na public choo + bafu. Kuna tank la maji fence na parking pia. Kuna vibanda vya mbwa na kuku kama ni mfugaji. Nyumba ipo Tabata kimanga bonde la mchicha na kunafikika nyakati zote. Angalia...
  8. K

    Gs puppies for sale

    Habari za jioni wana JF? Hizo ni picha mnaweza kuziangalia mkafanya maamuzi.
  9. K

    Gs puppies for sale

    mambo vipi wana jf? Nauza mbwa pure germany shepherd puppies wamezaliwa trh 29,july, 2015. Bei ni 500,000/= kwa mawasiliano 0717 123464 karibuni
  10. K

    4 Bdrm House for Rent at Mikocheni A

    Umasikini ni kitu kibaya sana, na ndio maana masikini hawezi kuendelea hadi siku atakapoacha majungu na kufanya vitu vya maendeleo. Hiyo nyumba haijashushwa toka mbinguni, nendeni masani muone kodi USD 4000 kwa mwezi. piga hesabu zako sasa.
  11. K

    4 Bdrm House for Rent at Mikocheni A

    Mikocheni A, A 3 bedrooms (1master bedroom) unfurnished house with common bathroom, lounge,dining room,kitchen, ample parking space. Direct contact to the proprietor. Staff quarter has 2 AC rooms, kitchen,toilet and bathroom, garage also. Preserve water tank 12,000 liters. Rent is USD...
  12. K

    Nahitaji used 5 drs RAV4 any yr between 1999 mpaka leo, offer 8.5M

    mambo vp? Hiyo e-mail yako ni ya ukweli? naona inakataa. kama una 9.5 million mimi ninayo RAV 4. picha ndio hizo.
  13. K

    Toyota duet inauzwa bei nzuri.

    mambo vipi wana JF? Toyota Duet ya milango mitano inauzwa. Mwaka 1999 Kilometa 71400km Engine Cc 980 Bei 5,000,000 Kwa mawasiliano 0717 123464 au 0762 101178
  14. K

    Duet inauzwa bei poa

    Duet iko sokoni.
  15. K

    Nyumba inapangishwa - Tabata Kimanga

    Ndio hivyo , tena kodi unalipa ya miezi 6 sio mwaka mzima.
  16. K

    Nyumba inapangishwa - Tabata Kimanga

    Hapo ni familia mbili, kila mmoja na luku yake maji ndio mnatumia pamoja.
  17. K

    Pure german shepherd puppies 4 sale

    Ukishakuwa na mbwa au hata kwa kuwaangalia utaona tofauti yao, kuna tofauti kubwa tu kuanzia muonekano mpaka uelewa.
  18. K

    Nyumba inapangishwa - Tabata Kimanga

    Picha ndio hizo hapo,natumaini zitakupa picha.
  19. K

    Duet inauzwa bei poa

    bei iko poa mbona? mwisho kabisa milion 5,
  20. K

    Nyumba inapangishwa - Tabata Kimanga

    Nyumba inapangishwa tabata kimanga karibu kabisa na kanisa la KKKT Kimanga. Ina vyumba viwili vya kulala, sebure, jiko, choo na bafu. Iko ndani ya uzio wa ukuta. kwa wafugaji kuna kibanda cha kuku na mbwa kwa wenye mbwa. Bei ni Tshs 200,000 kwa mwezi. Kwa mawasiliano 0713 123464 au 0762 101178
Back
Top Bottom