Search results

  1. M

    Ufisadi kwenye uteuzi wa Nehemia Mchechu?

    Nielimishe, hivi cost of living is Tanzania is low? Au, tuseme standard of living is low na vile vile cost of living is high!! Au??
  2. M

    The Tale of two pictures: Whats wrong?

    Kwenye picha hizo tofauti kubwa ni kuwa Nyerere anaonekana active, afya nzuri, very composed body, na mtu mwenye uhodari wa kazi. Ona alivyochuchumaa, kikakamavu. Kikwete: Labda umri, ila alivyowekewa mkeka siyo kuwa anaogopa kuchafuka, hawezi kuchuchumaa. Hawezi ku-support weight yake...
  3. M

    Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

    African politics, au Tanzania Politics? Au tuseme Politics sasa hivi imeingiliwa na vichaa, labda nieleze jinsi CCM wangemweshimu John Malecela. 1. Elder - Huyu ni Elder wa CCM ambaye convincing power yake kuwafanya wananchi waielewe CCM. Huyu aliweza kuitwa popote uchaguzi utakapofanyika ili...
  4. M

    How China is taking over Africa, and why the West should be VERY worried

    Someni hapa: http://www.msnbc.msn.com/id/33936653/ns/world_news-washington_post/
  5. M

    Heavy burden of lavishness

    Kitu kibaya zaidi ni kuwa tunajua kutumia, starehe, lakini tumekosa hata zile akili za kuzalisha na kutunza kile tunachopewa.
  6. M

    Heavy burden of lavishness

    Unafikiri bado tupo third world kwa hali hii?? Unajua Brazil, China nao wanaitwa third world; lakini ukiangalia sana sana sisi sasa hivi ni Fifth world, au the world without rank.
  7. M

    How China is taking over Africa, and why the West should be VERY worried

    Mkandara, Zungusha akili yako kwanza kabla ya kusema. Hivi wewe unafikiri kuna tofauti gani kati ya wazungu na wachina? Hivi tatizo ni wazungu au wachina? Tatizo ni Waafrika. Waafrika na binadamu dhaifu kwa kila hali. Wazungu walimpa Mobutu 15% ya mapato, akaweka benki Uswiss. Na wengine wengi...
  8. M

    How China is taking over Africa, and why the West should be VERY worried

    Mmejifunza kuvaa tai miaka 500, sasa mnataka kujifunza kuvaa Mao Suit miaka mingine 500. Hivi unafikiri hizo pesa ziko bure?? Jiulize sana. Wanajua kabisa "Miafrika Ndiyo Ilivyo" "We are sick and tired of the old model, where China comes to Africa and extracts raw materials and goes back to...
  9. M

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Jibu swali hili kwanza: Kama JK anaakili atatoaje amri kuwasha mitambo ya IPTL wakati iko under receivership???
  10. M

    Barua kwa Rais Jakaya Kikwete kuhusu Loliondo

    Abominable, disgusting and devastating! Jasusi kama ulivosema kwenye topic fulani; Mkuu anapewa suti 30 kwa kila mwezi atafanya nini? Hivi vi- Raisi vya hizi nchi zetu taabu kweli kweli. Hivi vi-nch ni kama factions, si kweli ni nchi. Mie naona chama kama sisiemu (CCM) ni kama Mafia fulani kama...
  11. M

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Huwezi kujjudge destiny ya mbowe; ati kafeli "yote"; be fare please! Sasa nani ni successful??
  12. M

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Masanja kishakujibu WRONG place; mie naongeza wrong place na wrong time; kuna wakati wake, nani amekwambia atagombea Urais? Kwa sasa hivi piga simu Hull au muulize Masatu akueleze.
  13. M

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Kufeli kwa Mbowe kwako wewe kudos? My grandmother!! Huoni hilo baraza lenu la mawaziri, wabunge wakuu wa mikoa wote wamegushi vyeti? Sembuse na kufeli? Kwani Tanzania inaongozwa na watu waliopasi? Mwinyi alipasi mtihani gani; njiwa wewe?
  14. M

    Who are they: Mbowe, Sitta, Slaa, Zitto, Mwakyembe, Kubenea, Lissu, Rostam...

    Hivi wewe umeona hiyo topic muhumu sana? Sasa hivi Mbowe si rais wetu, wala hajawa kwenye public eye, kwa nini usifanye iwe personal na umpigie simu umuulize yeye mwenyewe au piga Simu Hull wakwambie. Topic za maana nying mno pleaaaseee!
  15. M

    China stealing African Technology

    Mie na wasiwasi sana hata ile Rada tuliyonunua Uingereza tulitumiwa tu na hawa WaChina tununue ili wao watumie kwa kuwa China marufuku kununua vitu kama hivyo EU au USA. Lile rada nasikia wala halipo au tulibadilishiwa bomu. Haya ni mawazo yangu tu kwa kuwa hivi vi-nchi vyetu vipo corrupt mno na...
  16. M

    Tanzanian corruption exported

    Wakishikwa pabaya huanza kumkimbilia "Mungu": "I trust in God, and history will absolve me," she said on Friday.
  17. M

    Wanasema Kikwete hajafanya kitu, wamsikilize Kawawa

    Live rates at 2009.10.27 14:14:58 UTC149,000,000,000.00 TZS = 112,749,307.940 USD Tanzania Shillings United States Dollars 1 TZS = 0.000756707 USD 1 USD = 1,321.52 TZS
  18. M

    Eti dhambi ya Kikwete ni tabasam, uhuru wa kusema, kusikiliza wanyonge

    Nilifikiri kwenye free economy factor zote zinaenda automatically. Wewe mwenzetu unasema ati uchumi haukui lakini fedha nyingi lakini wakati uchumi ulikuwa unakua pesa zilikuwa hazipo. Lakini si goods zinavyo- exchange ndiyo tunaona activities za biashara zinakua. Sasa kama uchumi haukui hizo...
  19. M

    Eti dhambi ya Kikwete ni tabasam, uhuru wa kusema, kusikiliza wanyonge

    Hapa ndipo umeniacha hoi! "Katika yote yatazungumzwa lakini tofauti kubwa ya utawala wa Mkapa na Kikwete ni MZUNGUKO WA PESA. Wakati wa Mkapa uchumi ulikuwa lakini mzunguko wa pesa ulikuwa mgumu sana ukilinganisha na sasa. Na njia pekee ya kuwasaidia wanyonge ni kuhakikisha kuwa kuna urahisi wa...
  20. M

    Eti dhambi ya Kikwete ni tabasam, uhuru wa kusema, kusikiliza wanyonge

    Zawadi, Politics za Tanzania kwa mtazamo wako sasa hivi ni kama Simba na Yanga, nani ni zaidi ya yupi, na tu kwa sababu tu wewe upo-affiliated with them on certain attittude then they are right. Maana huwezi kumconvince mwana Simba au Yanga kuwa kushindwa ni halali. Accept one thing, first a...
Back
Top Bottom