Search results

  1. sika

    Good n' bad of JFmembers

    ni jambo zuri sana kuwa na site hii kwani inatuelimisha na kutuburudisha,nimekuwa ni memba wa blog hii kwa muda mrefu kidogo na nimejifunza mengi kwa kweli.kuna baadhi yetu tumekuwa tukichangia vizuri na kutoa ushauri kwa wenzetu wenye matatizo mahusiano yao ya kimapenzi lakini kuna baadhi...
  2. sika

    Does makinh love/sex makes your r/ship stronger or not?

    What do yoy think? does it relly important?sex is different from making love ryt?
  3. sika

    Je ungekuwa wewe ungefanyaje?

    Jamaa mmoja alikuwa akitokea shamba pamoja na mkewe.... Wakiwa njiani waliona uyoga, wakaung'oa na kwenda nao nyumbani kwa lengo la kwenda kupika na kuula. Lakini kabla ya kufika nyumbani, wakahofu kwenda kula ule uyoga wakihisi unaweza kuwa si uyoga wa kula. Basi wakaamua wapike uyoga...
  4. sika

    it is not fair.

    sawa mkuu nimekusoma,ila nilikuwa natakiwa nirudi kazini faster ndo maana nikaona nitest shortcut mzee,ila sio mbaya next time nitafuata utaratibu.
  5. sika

    it is not fair.

    nakubaliana n wewe vivian. dah nilikasilika sana hadi nikaghaili zoezi hilo.
  6. sika

    it is not fair.

    wana JF mi nina swali naomba mawazo yenu.Hivi kwa nini sisi wanaume hatupendani na kujaliana wenyewe kwa wenyewe? hivi punde nilichomoka ofisini na kwenda bank ya NMB kwenya ATM nikakutana na bonge la foleni kama mbagala,niaamua kuingia ndani ili nisaidiwe kule ndani nikamfuata kijana mmoja wa...
  7. sika

    je ingekuaje?

    mzee sijamtusi sinkala kuna kabila moja linaitwa wanyamwanga ni wenyeji wa mkoa wa mbeya na sinkala ni mmoja wao,sinkaLA TAFADHALI naoomba uwaambie wana JF kwamba sijakutusi.
  8. sika

    je ingekuaje?

    wa kwanza kuchujwa uwe wewe au unasemje mnyamwanga wewe.
  9. sika

    je ingekuaje?

    mambo vipi wana JF,hivi mmeshawahi kujiuliza kama kiungo cha mwanaume kingekuwa kama kifutio je ni wangapi wangekuwa na hivyo vifutio mpaka sasa toka wabarehe.nawakilisha kwa pamoja tujadili.
  10. sika

    je ingekuaje?

    mambo vip wana JF,hivi mmeshawahi kujiuliza kama kiungo mb.. cha mwanaume kingekuwa kama ufutio wa penseli je ni wangapi wangekuwa na vifutio mpaka sasa.nawakilsha na tujadili.
  11. sika

    Mkong'oto unapodhaniwa kuwa ishara ya mapenzi....

    usiseme hivyo kwani hata kama hukuwahi kufikiria kumpiga mpenzi wako kuna baadhi ya mambo yanaudhi na yanaweza kukulazimisha tu kuchukua hatua ya chriss.
  12. sika

    I'm going through hell!...should i keep going?

    mr pole sana kwa yanayokupata,cha muhimu ni kumueleza ni nini hatima ya vitendo vyake,for how long will you tolerate humiliations from your wife,you are doing more than enough for her,what she z doing to you is not fair at all she cant keep on not talking to you for more than three days.my...
  13. sika

    Utajuajekama amecheat!!

    we ukita kujua kama amedo au hakudo,akifika tu mpe mambo fastafast kama wewe ni demu wake.na ukiona anachukua muda mrefu kumaliza jua tayari,insu kama hii iliwahi kumtokea mshikaji wangu lakini yeye alipass quiz hiyo.
  14. sika

    Mapenzi ya wanafunzi vyuoni

    Jamaa mmoja ni mwanafunzi wa chuo cha TIA mwaka wa tatu kwa sasa yupo field mkoani morogoro,aliamua kwenda kufanyia field mkoa huo ili awe karibu na du wake ambaye anasoma SUA. Binti naye akadanganya kwa kuwa chuo cha kinafunguliwa mwezi wa 9,alidanganya ili apate nafasi ya kujinafasi na njemba...
  15. sika

    why r u so Obbsessed with me

    hey pole sana, inaelekea mambo yako uwanjani yanamdatisha mshikaji ndio maana anakuwa so high.
  16. sika

    Kwenu akina kaka wenye kutaka mapenzi ya kweli

    mbona unasema hvyo ndugu yangu na ww yameshakukuta nini?
  17. sika

    Counselling ya nguvu inahitajika - hakuna utani jamani.

    If you have a will then everythng is possible,may be you should tell JF members if there is other reasons behind that,if you do realy love each other then parents,relatives can not be an obstacle towards your wish.just stick to your plans and try to consult elders they might help you overcome...
  18. sika

    Je niachane nae?

    :cool: aah acheni nicheke tu,nyie si ndio mlikuwa mnacheza kibabababa na we ndo ulikuwa unakuwa mama na walikuw wanakudo kishenzi,alafu sasa unatuambia acha uongo.
  19. sika

    kuna mtu yeyote anaweza kuniambia yupi ni baba na yupi ni mama kati ya maharusi hawa?

    washikaji wote wa jf nawapa bigup kwa maushauri yote mliyonipa mazuli nitayafanyia kazi mabaya nitayabwaga.BIG UP kwa nyamayao,invisible,mtu b,the boss, kimbweka,shapu,katavi,fidel80,carmel,msindima,firstlady,chrispin,joyceline and many more,keep it up.
  20. sika

    Why me?

    Mambo vipi wana JF. Naombeni ushauri wenu nilikuwa na demu wangu ambaye tulipendana sana ila siku moja ilitokea missunderstanding kati yangu na yeye ambayo ilisababisha mawasiliano baina yetu, hivyo kunipelekea mimi kutafuta demu mwingine wa kunipooza machungu Chanzo cha haya matatizo yote ni...
Back
Top Bottom