Search results

  1. Marumeso

    Janga la VVU lakatisha ndoto zetu

    Nimecheka apo manesi walivokuwa wanawashangaa. Manesi s'times wana ujinga mwingi sana😄😄apo ungezubaa kidogo wangeanza kukuminyaminya kukuhakiki km ni wewe au🤣
  2. Marumeso

    Mwaka 2021, 70% walioambukizwa VVU Tanzania ni Wasichana

    Binadam anajifunza kwa kuona. saivi hakuna madhara ya UKIMWI yanayoonekana na bado kuna usiri mkubwa sana. serekali ni km imekaa pembeni kwene kuelimisha watu. Ugonjwa hauwezi kuisha huu.
  3. Marumeso

    Shime! Watanzania wenzangu, kesho 1/12/22 twendeni tukapime VVU

    Wikendi inaelekea kuanza vema ila huyu anataka kututoa kwene reli. kiongozi humu tunashare stori nzurinzuri za mitungi, mademu pisikali, viwanja vikali vya watrotro wazuri.
  4. Marumeso

    UN: Nchi za Afrika hazina malengo ya kupunguza vifo vinavyotokana na maambukizi ya VVU

    Hawa kumbaff wanataka kuitumia ngoma kuhalalisha ushoga.... huyo maza kumbaff sana apeleke hizo mambo kwao Rwanda kama hajabalaswa na kagame
  5. Marumeso

    Anatafutwa Single Maza

    ☆Awe na kazi yake ya kuajiliwa au kujiajiri ☆Asiwe na njaa ☆Asiwe na mtoto anaemtegemea ☆Awe huru asiwe na vidumu a.k.a madume wengine ☆Dini au rangi sio ishu Single Mazaz Karibuni
  6. Marumeso

    Naenda Hungumalwa. Naomba kuelekezwa lodge yenye mabinti wazuri

    🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
  7. Marumeso

    Wanafunzi wengi waliomaliza vyuo vikuu hawana reasoning and cognitive skills

    mkuu unantia machungu nna mmoja hapa kuna kazi niko naye ni majanga matupu. yaani spelling haziungi mwanzo mwisho. sijui hata wanasoma nini huko chuoni.
  8. Marumeso

    ONYO: Abood Bus waonye Madereva wako, Mwendokasi unaua abiria wasio na hatia

    Daah hawa jamaa wote wa mabasi makubwa na wenzao wa serekali wanajikuta wao pekee ndo wenye haki ya kutumia barabara. Wanaovateki hovyo tena hata hawajali uwepo wa gari zingine hasahasa hizi gari ndogondogo.
  9. Marumeso

    Kwanini mazishi ya waliokufa na ndege huko Bukoba yanagharamiwa na Serikali? Wanaokufaga na mabasi?

    kwaiyo unataka kudai Precision ipo ligi moja na Bunda Bus Service au?
  10. Marumeso

    Kama Biblia na Quran zingeletwa Mahakamani zithibitishe yaliyomo ndani yake, Quran ingeangukia pua

    daah we jamaa kumbe sio wa kispotispoti,,umepiga kwenye mshono watu wanaweweseka ovoovo
  11. Marumeso

    Wamiliki wengi wa majokofu/friji wanauelewa mdogo juu ya utendaji kazi wake

    Asante mkuu kwa elimu hii muruwa kuhusu friji kiukweli tunapigwa sana na hawa wanaojiita "mafundi " unaweza kumwita fundi aje kutengeneza kumbe ndo anaharibu mazima unakuta fridge huwezi kutumia tena.
  12. Marumeso

    Ushauri unahitajika kwa dada yetu

    Hapa hakuna mke. eti jamaa kabadilika umeshajiuliza ni kwann kabadilika?
  13. Marumeso

    Nina mwezi sasa sijasimamisha hata nikiamka asubuhi ngoma hola

    mkuu weka kwanza picha ya huyo jolybebe ulomtaja apo tukushauri vizuri
  14. Marumeso

    Serikali ipige marufuku ARV's kuingizwa nchini, zinasambaza UKIMWI

    Ndom zinasaidia sana. Bila ndom hali ingetisha.
  15. Marumeso

    Mke wangu kila nikimgusa anakuwa mkali, napata wakati mgumu na ndoa yangu

    simpo. huyo mpandishe cheo tu awe mke mkubwa.
  16. Marumeso

    Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Daah huku mahala ni middle of nowhere jamaa wanakunywa maji yale ya rangi ya maziwa ya kwenye mifereji. huku hata miaka elfu ipite sijui km watapata maji ya kunywa meupe
  17. Marumeso

    Kongole kwa uongozi wa mkoa Shinyanga kwa kuwafurusha madada poa

    × Hao ni watu muhimu sana. × Wanalea ndoa nyingi sana hasa maeneo ya mijini. Mke akizingua unakimbilia huko kujipooza maisha yanaenda. × Ukichunguza ubakaji mwingi upo zaidi vijijini ukilinganisha na mijini. × Wanapunguza sana ubakaji na watu kuparamia vitoto vidogo.
  18. Marumeso

    Nafuta mume ambaye hatoomba ngono kabla ya ndoa

    Bado upo shule hlf unataka mwenye kazi. Mteremko unatafutwa hapa!
Back
Top Bottom