Search results

  1. S

    Itv na uchomaji wa makanisa vs ajali za meli

    uhusiano wa kuchomwa makanisa na kuzama meli? kweli nimeamini kuwa kuna watu ambao ni wa aina yake. bila shaka una mahusiano kabisa na uchomaji wa makanisa wewe. itv ni chombo ambacho kinafanya kazi nzuri tena bila upendeleo kuliko hivyo vilivyoko kwako huko ambavo ni bias kupita maelezo...
  2. S

    Katiba mpya: Waislam watoa madai mazito Mwanza yawekwe kwenye katiba mpya

    Jambo kubwa la pekee katika mchakato wa marekebisho ya Katiba na utoajiwetu wa maoni si kuleta hisia na imani zetu ndani ya Katiba ya nchi. Kila mtu ana dini yake na dini hiyo ina madai mbalimbali. Madai ya dini yako au yangu hayawezi kuingia kuwa sehemu ya Katiba ambayo ni mwongozo mama wa...
  3. S

    MwanaHalisi: Njama za Mauaji zafichuka, za kuwauwa Kubenea, Dr. Slaa, Mnyika na Olimboka

    Ni naamini kuwa hujui unachosema na kama unajua basi unashida kubwa sana. Usalama wa Taifa hawatumii mbinu za mbinguni bali za hapahapa tunapoishi. Tena ni za kusomea na kubuni kama wanavyosoma wengine na kubuni kama wengine. Usidhani mbinu zao haziwezi kujulikana. Tambua hilo halihitaji shule.
  4. S

    MwanaHalisi: Njama za Mauaji zafichuka, za kuwauwa Kubenea, Dr. Slaa, Mnyika na Olimboka

    Angalau sasa unarudi kwenye hoja. Niombe Watz, tuwe watu reasoning na si vijazba na vihisia. Tuzungumze kwa kupima mambo na hapo tutawasaidia hata viongozi wetu. Tusiwe maskini wa mawazo. Fedha mfukoni hamna na akili nazo ziwe hivyo? No, no, no. Thank you.
  5. S

    MwanaHalisi: Njama za Mauaji zafichuka, za kuwauwa Kubenea, Dr. Slaa, Mnyika na Olimboka

    Ni kweli wana njaa ya mabadiliko, lakini wewe si umeshiba EPA na ufisadi mbalimbali. Huwezi kuwa na mawazo huru ukasema haya ni mambo ya njama za CDM. What is CDM by the way? Hapa si CDM - hapa tunazungumzia issues ambazo hata wewe mwisho wa yote hutaachwa ukibweka kama unavyofanya. Mauaji...
  6. S

    MwanaHalisi: Njama za Mauaji zafichuka, za kuwauwa Kubenea, Dr. Slaa, Mnyika na Olimboka

    Ni hasira kuhusu nini? Unaposema Chadema, wewe ni nani? Lenga hoja na kuoanisha na hali halisi inayoendelea nchini. Si suala la chama hapa.
  7. S

    MwanaHalisi: Njama za Mauaji zafichuka, za kuwauwa Kubenea, Dr. Slaa, Mnyika na Olimboka

    Ni upuuzi kweli au hoja zetu sasa ndo upuuzi? Unatumwa na dhamiri gani yakusema huu ni upuuzi? Si amini kama dhamiri yako ni clean!
  8. S

    MwanaHalisi: Njama za Mauaji zafichuka, za kuwauwa Kubenea, Dr. Slaa, Mnyika na Olimboka

    Siamini kama ni ufinyu wa mawazo. Sijajua ni kwa kiasi gani unayaona yanayoendelea hapa nchini na dhana yako ya "ufinyu wa mawazo." Sijui kama unasema kwa kufikiri au umejaa siasa hata katika hali hii nzito na ya kuogofya inayoendelea. Nashauri katika issue sensitive kama hizi tuache akili...
Back
Top Bottom