Maaskofu wanafanya kazi kwa nyaraka kama ilivyo kwa mkuu wa kanisa katoliki Suala LA waraka liko hata kabla ya kikwete uwe na weledi taf aidha ni ninyi watz mnaolalama Kwamba maaskof wanamix din na siasa na sasa mnataka wakafanye siasa hasa ninyi waislamu
Sent from my TECNO-Y3 using...
mkuu acha uwongo. clinton hakuwa impeached alikiri skandali hiyo kitu ambacho ni sharti la kutofanya impeachment. aliyefanyiwa impeachment alikuwa r. nixon
ni kweli huyo bwana ni afisa habari wa chama na kila anachozungumza, kama ilivyo kwa wasemaji wa taasisi wengi, ni consensus ya taasisi yake vinginevyo tungesikia katibu mkuu kinana akimkaripia au hata mwenyekiti wake lakini hatuoni ukanushaji wowote wa hilo.
pia tumezoea kusikia kwamba kukemea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.