Search results

  1. M

    Rais Samia kusaini EPA huko Brussels?

    Kuna sababu nyingi kwanini TZ isisaini huu mkataba miongoni mwazo ni: 1. Faida ya kusaini tayari tunaipata Sasa kwanini tusaini? Ni hivi tunasaini Ili tuuze bidhaa zetu Ulaya bila kutozwa kodi, mpaka sasa TZ kwa kuwa ipo kwenye orodha ya nchi za chini kimaendeleo yaani Least Developed Countries...
  2. M

    Zitto kuunga mkono hoja ya Chenge ni kosa?

    Jana Zitto alimuunga mkono Chenge kuwa wahusika walioteuliwa na Rais basi Rais aachwe awawajibishe yeye mwenyewe. Muda huo Chenge alimaanisha MASWI na WEREMA. Kwa hasira Zitto alishauri basi na wengine wote waliobaki wawajibishwe na mteuzi wao ambaye ni Rais na akashangiliwa na CCM sana...
  3. M

    Mabilioni ya husishwa na kifo cha mkurugenzi EWURA

    Swali la kuhoji inawezekana vipi tai ikatike, halafu na bomba pia ivunjike? Unataka kusema vyote vilitokea kwa wakati mmoja? Kwa kawaida, kwa mwenye uzoefu kimoja kikikatika ni ahueni kwa kingine.
  4. M

    AAR: Malalamiko Dhidi yao, Ubora wa Huduma Zao na Kuunganishwa kwa huduma ya Bima na Matibabu

    Kwa muda wa mwaka mmoja sasa nimekuwa nikitumia huduma ya bima ya AAR mimi na familia yangu, hata hivyo katika kipindi hicho haswa hivi karibuni nimebaini mapungufu ya huduma hii ya AAR na kujiuliza kama wenzangu pia nanyi mnapata usumbufu huo na huduma hiyo mbaya kwa kiasi chake katika...
  5. M

    Updates: Yanayojiri Mtwara - hali bado tete (Mei 23/24, 2013)

    Taarifa ambazo hazijathibishwa zinasema Polisi wanapora mali na KUBAKA wanawake.....mlioko huko tupeni ukweli!
  6. M

    Hali ni tete Mtwara Leo, Sakata ya Gesi

    Wamtwara tegemeeni mengi kwani Serikali itauza vitalu kwa mara ya NNE bila SERA wala SHERIA ya gesi itakayoweka bayana haki zenu. Sera aliyosema waziri imekamilika ni mbovu haielezi upstream operations zitashughulikiwaje. Hata maeneo wanayosema wananchi watahusishwa na kufaidi haiwelezi vipi...
  7. M

    Fikra Mbadala: Lowassa kama Rais itakuwa ni Kikwete 2.0 (Marudio ya 2005)

    Nape na Kigwangalah wamekanusha Kikwete kumsifia Lowassa na wakasema huu ni mchezo wa kundi fulani (bila shaka la Lowassa) je, ukweli ni upi?
  8. M

    Kikwete: Sijashindwa kuiongoza Tanzania!

    Watu wengine huwezi kuwatambua upumbavu wao hadi pale watakapofua kinywa kuzungumza au kuuandika upumbavu wao..............mwenye makosa sio aliyekutuma ila wewe kukubali kuagizwa kufanya uchochezi. Matokeo yake mtayapata tu.
  9. M

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Japo nimechelewa jamvini lakini kukosa kabisa itakuwa dhambi hili suala liliwahi kuwekwa sawa kwenye orientation yangu ya UDSM na Prof. mmoja mwaka 2005. Nakumbuka ilikuwa ndio tunaenda kutambulishwa kwa viongozi wa CCT (Kanisa) pale Yombo 2. Prof mmoja mtu wa pwani jina nalihifadhi akasimama...
  10. M

    NYARAKA: Omar Nundu ni msafi...

    Serikali yetu imeshindwa hata kujihifadhia nyeti zake je itaweza kulindea nyeti za wengi? Tuanzie hapo, tunamlaumu mtu asiyestahili kulaumiwa kutokana na ukweli kuwa hana uwezo wa kutekeleza majukumu tuliyompa. Nundu na wengine kuanzia juu na yale wanayoyafanya yote ni makosa na hata wamlete...
  11. M

    Muda wa wabunge uwe vipindi viwili tu

    Naunga mkono kwa kigezo kuwa watanzania wenye uwezo wa kuongoza wamekuwa wengi na wote ni vyema wakapewa uwezo wa kutoa mchango kwa taifa lao. Kama mtu ataruhusiwa kugombea bila kikomo hata kama ni mzuri kiasi gani atakuwa anazibia wengine fursa ya kutimiza haki yao ya kuongoza.
  12. M

    Mbunge wa Ubungo John Mnyika anyimwa na polisi kufanya mkutano

    POLISI WAWAKAMATA VIONGOZI WA CHADEMA NA KUSHIKILIA VYOMBO VYAO Baada ya Polisi kupiga marufuku mkutano wa Mbunge wa Ubungo kwa kutumia simu. Wamewakamata viongozi wa CHADEMA na Vyombo vya sauti vya mkutano, nyaraka za chama, vipeperushi, copy za muswada wa mabadiliko ya katiba na katiba za...
  13. M

    Elections 2010 Ripoti kamili ya kura za maoni za urais toka tcib

    Ile Ripoti ya kura za maoni zilizofanywa na Tanzania Citizen's Information Bureau inayoongozwa na Deus Kibamba hii hapa mjionee wenyewe!
  14. M

    Elections 2010 Dk Slaa awalipua Pinda, Mkapa

    NI kweli kuwa Dr. Slaa anahitajika kuzumzia ilani yake pia ila nina kumbuka vyema ameongea mengi kuhusu ilani yake kama katiba mpya, suala la serikali tatu na mengine mengi! ninachoona wengi wanaomsema kuhusu kusema ya watu ni wale ambao hawataki maovu yaibuliwe! (Kwa sababu zao binafsi) Uovu wa...
  15. M

    Elections 2010 Dk Slaa awalipua Pinda, Mkapa

    Pumba na UCCM uliovuka ueledi!
  16. M

    Elections 2010 Majukumu Makuu ya CHADEMA

    Hakuna kulala Mpaka kieleweke! Thanks Mzee!
  17. M

    Elections 2010 Dr. Slaa kumuwekea pingamizi Kikwete!

    Kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi ya 2010, kifungu cha 21(1a) kisemacho, PART V PROHffiITED PRACTICES Unfair conducts 21.-(1) During the nomination process, election campaign or election, an act of prohibited practice shall be committed by- (a) every person who, before or...
  18. M

    Elections 2010 Wafanyakazi: Tutampigia kura Jakaya Kikwete

    BILL are you a hired gun! Je, ukiagizwa kumuua mamako utafanya hivyo! Hainiingii akilini! Huyu mpuuzi anaye jidai kuwahoji wafanyakazi nadhani anaupungufu wa ueledi katika tasnia ya utafiti, Huwezi kuwahoji watu watano kumi ukasema haya ni maoni ya watu laki tatu! huo ni ujinga...
  19. M

    Elections 2010 Wananchi igunga walalamikia rushwa ya pikipiki na baiskeli

    :crying:Ikiwa ni mwitikio wa wito wa kukataa rushwa uliorushwa na Asasi ya Agenda Participation 2000 kwenye ITV, Channel 5 na East Africa Radio, Wananchi wengi wa jimbo la Igunga wamepiga simu na kutuma SMS kwa taasisi hiyo wakilalamika kuwa rushwa ya pikipiki inatolewa na TAKUKURU wamekaa kimya...
  20. M

    Mwitikio wa Wananchi juu ya Hotuba kali ya JK dhidi ya TUCTA

    “Rais amejisahau na anatumia vibaya mamlaka aliyopewa na Watanzania kuwakandamiza wafanyakazi, amesahau kuwa nafasi hiyo imetokana na wananchi wote wakiwapo hao wafanyakazi.” Ni kweli Bi. Asha Amejisahau. Inawezekana amelewa madaraka. Hatufai toka mwanzo!
Back
Top Bottom