Search results

  1. Simon Mwacha

    Rais wangu Magufuli, Pemba haiitaji mikwara na vitisho bali mashauriano na mapatano

    Ulevi wa madaraka ni mbaya sana, kushinda vilevi vyote hapa duniani. Ila Allah mwenye nguvu nyingi na mwingi wa Rehema, akawaadhibu wote wenye kudhulumu wazi wazi haki zetu, InshaAllah.
  2. Simon Mwacha

    Kupatwa kwa jua, ishara ya mwisho wa dunia

    Ni kweli ni ishara mbaya sana, kwani hata kwenye maandiko hilo swala limezungumziwa. Na kinachosikitisha zaidi ni kwamba katika ofisi za umoja wa kimataifa, chumba cha kuabudia, wameweka sanamu la jua. Kweli naona zama za yule mnyama mwenye chapa ya 666 zimekaribia!!
  3. Simon Mwacha

    Rais Magufuli hajui huu mchezo unaochezwa kati ya Makonda, Kikwete na hawa Homeshopping Centre

    Kwani hata mr (JK) si alishasema mla huliwa. Magufuli hana nguvu ya kupambana na hizi papa na nyingine nyingi. Kwa ufupi ni kwamba taasisi anayoongoza sio saizi yake.
  4. Simon Mwacha

    Salesman wanted

    Nipo tayari
  5. Simon Mwacha

    Jaji Mtungi inabidi tukae kikao! Yamemshinda

    Sasa kama alishawaambia CCM ndio boss wao, unataka jaji mtungi amkosoe boss CCM!! Poor CCM.
  6. Simon Mwacha

    Kifaa Maalum cha kubadili Mkojo kuwa bia chagundulika huko Ubelgiji.

    Duh! Mi nitaacha kabisa, manake huu sio ustaarabu kama ule wanaotuambia tunywe kistaarabu.
  7. Simon Mwacha

    Mrema atoa siku saba kwa Paul Makonda kujieleza

    Unajuwa mtu ukizeeka unakuwa na akili za kitoto. Sio kosa lake ni kosa la akili yake. Na pia kapata cheo kilichomfanya asaliti chama chake. Nashangaa jogoo kageuka mtetea (TLP).
  8. Simon Mwacha

    Tundu Lissu mpinzani pekee aliyebaki

    Wote hao uliowataja (Magu na Lisu) wana vipaji vya utendaji sio kusimamia/kuongoza.
  9. Simon Mwacha

    Kimondo (Astreroid) Au Jiwe Kubwa Hatari Kwa Dunia Yetu

    Kwa nini? Kwani kuna uchunguzi waliowahi kuufanya ukawa wa uongo?
  10. Simon Mwacha

    Kimondo (Astreroid) Au Jiwe Kubwa Hatari Kwa Dunia Yetu

    Duh! Kama Hiroshima ilipigwa kwa bomu moja la nuclear, vipi hili la BENNU, tunaloambiwa ni sawa na mabomu 200 ya nuclear!!? Au ndio kiama kimekaribia? Naombeni mawazo yenu wadau.
  11. Simon Mwacha

    Master J na Shaa kufunga ndoa

    Sawa kazi kwenu
  12. Simon Mwacha

    UVCCM Mkoa wa Arusha wamnyamazisha Ulimwengu

    Kitadumu kwako wewe na sio kwetu sisi. Nyie ni kina nani hamtaki kukosolewa!!???
  13. Simon Mwacha

    Hongera Mhariri wa Nipashe kwa kukumbusha kashifa ya waziri huyu na kumpa mtihani Magufuli

    Kwa nini asifahamu. Hawa viongozi wa serikali ya CCM c huwa wanabebana kama watoto. Tuone slogan yake #hapa kazi tu, ikifanya kazi na c kulialia tu.
  14. Simon Mwacha

    Chanzo beef la Obama na Donald Trump

    Lazima iwe ivyo kwani c wapinzani mmoja anatoka democratic na mwingine republican.
Back
Top Bottom