Search results

  1. M

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Mi sio mdau sana wa politics ila ni observer mzuri wa mambo yanavyokwenda: Hapa kuna mambo mawili (2): (i) ushindi kiduchu wa JK umesababishwa na secretariet/cc ya CCM au (ii) Utendaji mbovu usioleta matumaini wa Serekali from 2005 - 2010 na from 2010 up to now? Ki ukweli uchaguzi ulifanyika...
  2. M

    Kavunja ahadi ya uchumba sheria inasemaje?

    Duh hapo mm sio mtaalam wa sheria ila nadhani haihitaji akili nyingi kujua kwamba hakuna sheria inayolazimisha watu kuendelea na uchumba. Navyochukulia mm uchumba ni kama urafiki tu kwa hiyo kama kabadilisha mawazo kubali matokeo tu kwamba ni tatu bila then start afresh. Sidhani kama kuna sheria...
  3. M

    Kati ya Mkapa na Kikwete nani zaidi?

    Nimeipenda hii sentensi, ila bado mkapa alikuwa kichwa kwa uelewa wangu mdogo tu naweza sema hivyo (kujua tu kwamba Balali alikuwa mtaalam na kumwacha afanye kazi zake mpaka mfumuko wa bei ukashuka inatosha kuonyesha Mkapa alikuwa makini) Ila binafsi bado nakumbuka nakumbuka comments za mzee...
  4. M

    Orodha ya ahadi za Kikwete kwa wananchi 2010-2015

    Za kuambiwa changanya na zako!!!!!!!!! ahahahahaahah, Mbaiwayu hiyoooo. Najaribu kufuatilia nicknames za viongozi wetu wastaafu mwalimu aliitwa Mchonga meno Mzee mwinyi aliitwa Ruksa Mkapa aliitwa ukapa Mzee Jakaya na guess ataitwa Mbaiwayu! ahaha its fun!
  5. M

    Nilinyanyaswa na wauguzi wakati wa kujifungua: Salma Kikwete

    oooh its a good experience from first lady, this signals we have a long way to go to improve our health services. Still we need to re-plan/implement our strategies. Tusicheze na afya jamani!
  6. M

    Tanga Kunani

    ahahaah Duh hatari kabisa hii!. Hiyo usinga mzee naogopa nilipanga kukaa 2 weeks sasa i have to re schedule ili 1week. ahahaha
  7. M

    Kuileta Madrid Bongo ni kituko

    aahahah, kazi ipo hapo, kwa mifumo ya uchezaji ya Jose Ronaldo hana option zaidi ya kujifunza kukaba. Ila sasa itabidi Madrid wasahau entertaining football kipindi chote ambacho Jose atakuwa nao. Pia nakumbuka Fabio Capello aliwapa madrid ubingwa still akapoteza kazi Real Madrid kutokana na...
  8. M

    JE RAlS WETU ANAROGWA?

    Imani potofu
  9. M

    The Perfect First Date

    Tell us your experience first, then we can contribute!
  10. M

    Ulinzi wa Raisi Kikwete.....!!

    Nchi sasa inaendeshwa kienyeji (Kitine,2009)
  11. M

    Soko la dada zetu wa usiku lavamiwa.

    Duh we ni kiboko, ila safi sana kuna watu hawatembelei sehemu hizi kumbe wake zao wanaenda shift za usiku sehemu hizo. mzee umelala tu nyumbani ukijifanya una maadili. Ni vizuri kutembelea japo ku observe tu na kuburudisha macho inatosha alafu unarudi kwa mkeo nyumbani
  12. M

    Tanga Kunani

    Naja kutalii yakhe usiwe na shaka ila totoz nshaghairi sizitaki kabisa, mi naja fanya utalii wa ndani pale kwenye mapango.
  13. M

    Tanga Kunani

    Yes thanks i get it! Via link below. Tanga is one of the very important northerly seaport of Tanzania, it
  14. M

    Tanga Kunani

    ooh sorry i mean. Waungwana swali la kizushi. Je sehemu zipi Tanga unaweza kutembelea na ku enjoy? Hoteli nzuri za kufikia, sehemu nzuri za kujirusha and of course mahali unapoweza kwenda na kuona warembos wa kitanga wengi!
  15. M

    Tanga Kunani

    Waungwana swali la kizushi. Je sehemu zipi unaweza kutembelea na ku enjoy? Hoteli nzuri za kufikia, sehemu nzuri za kujirusha and of course mahali unapoweza kwenda na kuona warembos wa kitanga wengi!
  16. M

    Kwanini jk anafaa kuiongoza tz kwa awamu ya pili?

    je ameleta maendeleo? mi naona ameharibu uchumi ambao mkapa aliujenga vizuri sasa hivi vurugu tupu ngoja tuona. uzuri kura ni ya siri kwa hiyo mambo kwenye kutumia vizuri kura zetu tu
  17. M

    Masuala na Maswali kwa Ofisi ya Rais na Sekretariati ya Maadili ya Viongozi wa Umma

    umefulia badili mbinu hiyo ni simple pupularity sidhani kama inasaidia sana
  18. M

    Nahitaji mwenza wa maisha.

    kama kweli uko serious jitoe muhanga kwa kuweka mobile yako hapa, i'm sure watakupigia wengi sana itakusaidia kupata sample space kubwa ya wewe ku choose then you go. Kila la kheri
  19. M

    In DEFENCE of LOWASSA (Warioba & Butiku on it)

    Watz tumepata kitu kwa kweli, unafikiri bila kusakamwa na kamati angejiwajibisha! kama pesa ilikuwepo na umeme ulikuwa wa dharura na ukashindikana kupatikana simply kwa sababu walikuwa wakikumbatia richmond! acha wawajibike haina haja kutetea hapo.
Back
Top Bottom