Search results

  1. T

    Mikataba ya Madini na Serikali ya Tanzania

    Wanabodi, Mimi nina swali moja tuu kuhusu hii ishu ya mikataba , Kwa nini inakuwa siri ? Mimi nilitegemea ya kuwa mikataba ingekuwa inawekwa wazi ili wananchi wajue what to expect ! Mikataba hii inagusa maisha kila either direct or indirect kwa hiyo wazalendo tuna kila sababu ya kujulishwa...
  2. T

    Eti ni kweli Rais wetu amesafiri na watu 50 & Freeman?

    Nimekuwa nikifuatilia mijadala hii na kusema ukweli nimevutiwa na michango ya nguvu na iliyoenda shule inayotolewa na wanabodi. Kyoma mimi nina ombi kwako , jee una mpango wowote wa kuandika kitabu ? kusema ukweli mawazo yako ni mazuri sana na ninahisi jamii ingenufaika sana kama yangewekwa...
  3. T

    Hatimaye Kikwete Afanya Kweli

    Mimi sio kwamba nilikuwa namtetea Salim , ninachopinga mimi na nitakachoendelea kupinga ni vigezo vilivyotumika kumnyima huyu bwana Urais ! Jamani kilichofanywa na wana mtandao ni discrimination mbaya kabisa inayogusa rangi ya mtu . Jamani lets put ourselves in salim position and tell me how...
  4. T

    Hatimaye Kikwete Afanya Kweli

    Mzee ES, Kuna kipindi wakati wa kampeni za uchaguzi kama utakumbuka tukiwa BCS nilikuwa critical sana wa JK , Mimi nilishajua ya kuwa JK awezi kuwa kiongozi mzuri kwa sababu ameingia pale kiujanja ujanja , mambo wanamtandao waliyomfanyia salim yatawa haunt milele ! kitendo cha kutumia rangi...
  5. T

    Eti ni kweli Rais wetu amesafiri na watu 50 & Freeman?

    Mzee ES , Wazee walioluiza maswali ni wawili mmoja nasikia anatoka DC pale ubalozini na mwingine anatoka philadephia . Hawakuuliza maswali bali walitoa maoni ya kumsifia kikwete kuchaguliwa kwake na hii yote inaonyesha dhahiri ya kuwa maswali yote haya yalipangwa . Watu wanasema nimeeleza...
  6. T

    Eti ni kweli Rais wetu amesafiri na watu 50 & Freeman?

    kwanza napenda kuchukua nafasi hii kuwasalimu wanabodi wote bila ya kusahau wale wenzangu waliotoka BCS ! Wanabodi kwa muda mrefu tangu JK achaguliwe kuwa rais amekuwa akimwagiwa sifa kem kem hapo nchini , na nimekuwa nikijiuliza maswali mengi nini hasa kilichowavutia wazalendo ? Juzi...
Back
Top Bottom