Search results

  1. haibreus

    Traffic Lights Tegeta- Kunduchi Junction zifanyiwe marekebisho

    Barabara ya Bagamoyo imeanza kuwekwa taa za kuongozea magari , ni jambo jema kwa ustawi na maendeleo ya Jiji hasa wakifanikiwa kuweka na taa za katikati. Nije kwenye hoja , kama ukitokea africana kuelekea Tegeta kuna tatizo kubwa la foleni limeletwa na hizi taa ambazo kwa mtazamo wangu naona...
  2. haibreus

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Unapaswa kuangalia yafuatayo : 1. Zima kila kitu na uchunguze kama bado kuna Unit ina/zinasogea , kama ukiona zinasogea wakati kila kitu kipo unplugged/disconnected basi ujue kuna shida ya ziada 2. Hakikisha switch socket ya vitu kama ving'amuzi au deki vimezimwa wakati ambao havitumiki au...
  3. haibreus

    Napendekeza kuwe na governing body ya manunuzi katika industry ya Telecom

    KUTOKANA NA UZOEFU WANGU KTK INDUSTRY YA TELECOM YAFUATAYO YANAHITAJI SERIKALI IINGILIE KATI 1. Mabadiliko holela ya bei kutoka makampuni ya simu na washirika wake ( Huawei na Helios towers ) yanaelekea kuua makampuni ya mawasiliano ya wazawa kwa mfano : Gharama ya kujenga link moja mwaka...
  4. haibreus

    Carina on sale

    OK good
  5. haibreus

    Nina mpenzi anataka kunioa lakini mimi simpendi, Nifanyaje?

    We jamaa ukiachaga viroba unakuwaga na point sana
  6. haibreus

    Mwigulu, IGP Mangu, mkuu wa TISS watumbuliwe

    Jamaa ni genious!!mwenye akili ameelewa
  7. haibreus

    Dola bei juu, kulikoni thamani ya shilingi?!

    Umeongea point sana mkuu maana bila kudhibiti matumizi ya fedha za kigeni kwetu hapa lazima tutaangukia pua. South Africa ukitaka kubadili fedha za kigeni lazima uwe foreigner otherwise kwa mzawa au raia lazima mamlaka zihusike na sababu iwepo.
  8. haibreus

    Kabadilika ghafla, sijui nifanyeje?

    Acha uzinzi ndugu ! Mungu anakuona
  9. haibreus

    Wakurugenzi TANESCO wasimamishwa kazi, mmoja ajiuzulu!

    Hongera sana wewe ni great thinker.. Tanesco was moving forward ila chuki binafsi na siasa zimeamua kukataa wataalam. Hili shirika lingekuwa independent lingekuwa mbali sana. I hate politics
  10. haibreus

    Hili la makampuni ya simu kulazimishwa kujiunga na soko la mitaji limekaaje?

    Mjadala mzuri sana huu umetufumbua macho akina sisi . Niwapongezeni nyote Kwa elimu mnatupatia humu. Ila nawasihi punguzeni jazba na ujuaji ili tufaidie wenzenu kwani Sisi sote ni wamoja. Mbarikiwe sana wandugu. Mungu ibariki Tanzania
  11. haibreus

    Ni mwaka sasa, napata usingizi saa 8 usiku na naamka saa 11 alfajiri.Ndoto ninazoota ni ngumu

    Piga mazoezi sana ndugu , achana na blah blah zingine. Kimbia sana , ogelea sana ,ruka kamba ,punguza misosi mizito usiku omba kabla ya kulala afu uone kama utakuwa hauamshwi na alarm.
  12. haibreus

    Siku hizi laki ni kama elfu kumi tu

    Kumuelewesha chizi unajipa kazi
  13. haibreus

    TBC1 poleni sana kwa jinsi Mkemia anavyozidi tu kuwadhalilisheni kwa gharama ya Mawingu!

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji13]
  14. haibreus

    Bukoba vs Moshi

    Samahani kama nimekukwaza mkuu , nilidhani kila mtu anao uhuru wa kutoa maoni yake.
  15. haibreus

    Bukoba vs Moshi

    Me si wa Bukoba wala Moshi ila .....Bukoba kwa Moshi bado sana tena kilometa nyingi tu wanasubiri. Ila miaka michache ijayo Moshi itakuwa inasubiri kwa mikoa mingi sana sababu commercial activities Moshi ni kama zimesimama na nguvu kazi hakuna tena kama zamani yani ni kama mji uliokimbiwa wakati...
  16. haibreus

    Tetesi: Hatimaye "Chato International Airport" kuzinduliwa rasmi mwezi Aprili

    You're genius!! Happy New Year and be blessed
  17. haibreus

    Car4Sale Nahitaji Premio New Model

    Si nuksi mkuu , unajua gari ikishapatwa na ajali inapoteza Ile ladha halisi na nyingine hata chasis huwa zinakuwa zimepinda pia unaweza jikuta unahangaika na alignment maisha yake yote hali kadhalika unaweza ikuta hata ikikimbia inaleta vibrations unnecessarily labda kama iwe ilipata minor...
  18. haibreus

    Car4Sale Nahitaji Premio New Model

    Kaka sio kila mtu lazima umjibu. Wengine wameshavurugwa. Gari utapata tu cha msingi kuwa makini na gari zilizopigwa rangi kwani nyingi zinahistoria ya ajali.
Back
Top Bottom