Search results

  1. H

    Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

    Nadhani hili ndilo la kujadili pamoja na uthibitisho kuwa waraka huu ni wa kweli kutoka kwa mtuhumiwa.Coz kama ni kweli basi kuna haja ya kuunga mkono kwa sababu walikuwa na nia njema na chama. Kama kweli Chadema wamewafukuza hawa kwa hayo hapo juu,Hali ni mbaya coz wenye macho na masikio twaona...
  2. H

    N. Korea kupimana nguvu kijeshi na Marekani

    soma hii makala then utajua kwanini amerika hataki na hawezi kulianzisha. N Korea Military Tactics In A War With US A Strategy Of Massive Retaliations Against US Attacks By Han Ho Suk Director Center for Korean Affairs 4-24-3 North Korea has not only the military...
  3. H

    Masikini Tanzania, huyu ndiye mfano halisi wa vijana wake wasomi...na wako wengi!

    tatizo kubwa ni vijana kutojua kwanini wapo hapo walipo.siwalaumu vijana bali vyama vya siasa kutotoa elimu ya uraia na sera za vyama kwa kiwango sahihi.
  4. H

    Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa...

    waliotakiwa eneo la tukio ni serikari na vyombo vya ulinzi,wengine wote walienda kupoteza muda na kuhatarisha maisha yao.kama hatuna system nzuri inplace ya kuokoa maisha wakati wa majanga basi tusilaumu wanasiasa walioacha kwenda kwasababu ya usalama wao na pia kutoa nafasi kwa vyombo vya uokaji.
  5. H

    Hili la udiwani "2014" ni sawa 2009? Mh.pinda bado unaliangalia?

    nadhani amegundua ulazima wa nchi kuingia kwenye mfumo wa majimbo ndio maana hawashughuliki na hili lako.
  6. H

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    auae kwa upanga,lazima na ni lazima afe kwa upanga.
  7. H

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Kwi Kwi Kwi! Nakweli mnatembea Kama bata na magauni yenu, hivi kwanini wauza mbuzi katoriki ikifika ramadhani husema ni low season????? nguruwe anachinjwa dada.
  8. H

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Jamaa wanahamu ya kuchinja,wachinje na nguruwe si tule.
  9. H

    Wabunge wataka Umri wa kugombea Urais uwe 35; Zitto asema umri mkubwa ni ushamba

    Ntakuwa na amani nikiku support wewe,una base na hoja yako, sio kwasababu usa wanafanya.uliwahi ona usa wana Raisi mwenye umri chini ya 45? zitto huna hoja,yako ni kuwa umezidi miaka 35 tu.bora hii ya kutimiza haki ya kila mtanzania kikatiba.kuchagua na kuchaguliwa.unaweza kusikilizwa na watu...
  10. H

    Wabunge wataka Umri wa kugombea Urais uwe 35; Zitto asema umri mkubwa ni ushamba

    Hiyo ya kupunguza umri wa ugombea uraisi itanifanya niikatae katiba hata kama mengine yatakuwa mazuri kiasi gani.Tunahitaji Raisi mwenye Uzoefu wa kutosha na kwa miaka 35 bado sana.Zitto huu ni uchu wa madaraka,subiri mda utafika.
  11. H

    SITTA AUMBUKA, BAADA YA TAARIFA YA Dr. Mwakyembe

    By definnition poison is any substance which causes death or illness when taken by the body. Na kwa hicho kipengere ulicho nakili hapo juu kinasema kuna kitu kwenye bone marrow kkilichosababisha ugonjwa wakr. Kwa nilivyoelewa ni kwamba wametamka ana sumu kwenye bone marrow kwa kutumia maana...
  12. H

    Govt rejects IMF plan on minerals royalties

    simuelewi Hon Malima, Unaposema wanatuzidi ujanja si kweli kwani tuna sheria nzuri ya kodi(INCOME TAX ACT) ambayo kama ikitumiwa vizuri itaziba kwa asilimia kubwa mianya ya profit disappearing. Hilo suala la tujifunze kwanza huku wenzetu wakiendelea kufaidi peke yao sio sahihi, na ndio maana...
  13. H

    Kulikuwa na haja ya kumtimua Kafulila NCCR? Mh. Moses Machali Live on Star TV

    yahya, Kafulila bado mbunge,coz wamezuiwa ku implement their decision
  14. H

    Kulikuwa na haja ya kumtimua Kafulila NCCR? Mh. Moses Machali Live on Star TV

    Sasa turudi kwenye hoja ya leo, hilo la Kafulila bado mbunge halipingiki. Tusipoteze muda kujadili hilo.
  15. H

    Kulikuwa na haja ya kumtimua Kafulila NCCR? Mh. Moses Machali Live on Star TV

    yahya, Kafulila bado mbunge,coz wamezuiwa ku implement their decision
  16. H

    Kulikuwa na haja ya kumtimua Kafulila NCCR? Mh. Moses Machali Live on Star TV

    Yahya, Machali angetuambia na kesi ya msingi aliyofungua Kafulila ni nini? Ndio itafaaa kujua manatiki ya order ya mahakama.
  17. H

    Ona Mkakakati wa Serikali yetu kudhibiti bei ya Chakula

    NFRA wana point muhimu hapa, Kama wananunua mahindi kati ya 300 na 330 kwa kilo vijijini,kwa kuamua kuwauzia wasagaji kwa Tshs 400/kg(mfano) kutafanya bei ya unga ishuke sana na sana. Kwa mantiki hiyo kutafanya wannachi wengi wawe na option kati ya kula ugali na vyakula vingine,litakalotokea...
  18. H

    Ona Mkakakati wa Serikali yetu kudhibiti bei ya Chakula

    NFRA wana point muhimu hapa, Kama wananunua mahindi kati ya 300 na 330 kwa kilo vijijini,kwa kuamua kuwauzia wasagaji kwa Tshs 400/kg(mfano) kutafanya bei ya unga ishuke sana na sana. Kwa mantiki hiyo kutafanya wannachi wengi wawe na option kati ya kula ugali na vyakula vingine,litakalotokea...
  19. H

    Kumbe Rais wa Muungano akiwa Zanzibar yuko chini kwa Rais wa Zanzibar

    Na hapa ndipo hoja ya mzanzibari kuwa raisi muungano inapokosa mashiko,wao wana Nchi na Raisi sasa iweje waongoze na nchi yetu ikiwa jk nini tu kufanya teuzi au maamuzi yoyote kuhusu zanzibar wakati hata sherehe tu ni mualikwa. Tuachiwe tanganyika yetu tuongoze wenyewe.
  20. H

    Je Wazanzibar wana material presidential candidate 2015 ?

    katiba yetu haifai kumpa mzanzibari uraisi wa muungano, Hata mhe mwinyi ilikuwa ni kosa,vipi atafanya maamuzi kwenye mambo ya watanganyika yasiyo ya muungano? Kwa wao kukubali muundo wa serikali mbili huku hii ya muungano ikitawala na mambo ya watanganyika kumehalalisha watanganyika kuongoza...
Back
Top Bottom