Jaribu basi kuwaza kabla ya kupost. Huwezi kupanda ndege kama basi au fuso. Unapaswa kufanya booking hii fast jet yetu yenyewe huwezi kukurupuka kwenda kukata tkt.
Simply WM yuko madarakani while KUB anawakilisha minority haibadili majukumu. You should learn how these titles works. Ndo maana siku ya maswali kwa WM anaanza KUB then the rest wanafuata.
Na usuke rasta. Nilishakutana na wengi VIAVIA nimetinga suti yangu they keep asks me ridicuousily ' ar u a pastor?' when i answer back 'no, enterprenuer' wanaona mhh huyu sio, wanasepa!
Mkuu Marmo alishahamishiwa Ujerumani, after all hiyo barua imeandikwa na wafungwa walioko magereza za Hong Kong. China hawafungi, wananyonga wauza/wabeba sembe; bahati tu wale walikamatiwa Hong Kong ambako sheria ni laini kidogo km huku Tz.
Mkuu hiyo watoto wa mjini wanaita "flush message". Mteja anakuja anakuuliza kama anaweza kutoa sh. 1,000,000/=. Ukimwambia atoe, utashtukia imeingia sms ya pesa kuingia kwenye account yako; ila ukiulizia salio lako hautaiona hiyo millioni kwani itasoma salio kabla haijawekwa (kwa maana kwamba...
Kwa hili la PM, ningependa tukumbushane wimbo alioimba Bob Marley katika sherehe za uhuru wa Zimbabwe mpaka ukamgusa Mwl. Nyerere:
Every man gotta right
To decide his own destiny
And in this judgment
There is no...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.