Search results

  1. Pc

    Mavazi katika ofisi za Umma: Utumishi watoa mwongozo

    Hivi kama wizara hii ingekuwa inafuatilia vitu vya maana kama ufanisi kazini kama inavyofuatiliaa vitu hivi visivyokuwa vya maana tungekuwa mbali sana!!
  2. Pc

    Serikali kugawa Tablets sekondari zote nchini. Utekelezaji umeanza!

    Labda the ili maananisha "Tablets" kama "vidonge"vya minyoo
  3. Pc

    Serikali kugawa Tablets sekondari zote nchini. Utekelezaji umeanza!

    Madawati, Madawati, Madawati
  4. Pc

    Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

    Kuwa kiongozi lazima ujue wakati gani wa kujibu na wakati gani sio wa kujibu na wakati wa kujibu ujibu kitu gani! It's obvious huyu kakurupuka kama viongozi wetu wengine, sitoona ajabu kusikia Kuwa alishauriwa na viongozi wengine. Hoja ni tovuti ya Bunge kilichokuwa kimeandikwa kinatia shaka...
  5. Pc

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    Nilichojifunza leo 1. TBC ni aibu 2. Mtu yeyote anaweza kuwa Waziri. 3. Katibu mkuu kiongozi ana uwezo 4. Tutegeemee kubadilishwa mawaziri kabla mwisho wa Mwaka.
  6. Pc

    Naomba msaada wa damu group O negative kuokoa maisha ya baba yangu

    Pole sana, pitia benki za damu hospitali zote kubwa, kwani hilo group linafahamika utata wake.
  7. Pc

    Upgrade your smartphone to android version 4.3 jelly bean

    Kuna simu umezitaja hapo zina update ver 4.4 (Kitkat) kwanini usiwawekee Hiyo kabisa?
  8. Pc

    Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Mimi naona kama hii ni pesa kama zingine sidhani kama ni kwaajili ya ku investment kwenye yenyewe, basi itumike kama pesa. Sifa ya hii pesa ni kwamba hakuna anayeweza kumjua anayelipa na anayelipwa, kwa Sifa hii pekee sitegemei kuona bank yoyote itakayo support kwasababu wakikubali maana...
  9. Pc

    Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

    Hiii pesa ina uzuri mmoja mkubwa sana, it is untraceable. Yaani ukilipwa au ukilipa hakuna anayeweza kujua amemlipwa au amemlipa nani! Wewe unalipa au kulipwa kupitia anuani ya wallet tuu ambayo haihitaji chochote cha kujitambulisha. Mfano hii ni anuani 1Mx3kd4WTQu7chDM9qKqttbL6fh9rdzzG5...
  10. Pc

    Chama kipi unakipenda zaidi Kati ya CCM na CHADEMA?

    Hivi unatakiwa kupenda Chama au kuangalia Sera zake na uwezo wa kutekeleza hizo sera? Au mimi ndio nakosea?
  11. Pc

    AZSKY G6: Please share your experience

    Paul S S, Kwanza napenda nikushukuru kwa kuanzisha hii thread ambayo tunaweza ku "share" experience za matumizi ya G6 ambapo pia tunaweza kuelekezana ili tupate kukitumia kifaa hiki vizuri zaidi. Kwa mawazo yangu kitu kinachotumiwa na watu wengi lazima kitakuwa na experience tofauti. Nimepata...
  12. Pc

    Only in Tanzania

    Mleta mada umechemka, kufeli darasa la saba ndio huna akili? Moderator kindly delete this one!
  13. Pc

    mwisho wa kutumia analogy broadcastong techn.

    Wakati TCRA wanaamua watu walipiga makofi, hamna aliyewakumbuka Walala hoi! Wakati US wanafanya uamuzi kama huu waliwalipia hela wananchi ambao hawakuwa na uwezo. Sisi tusiokuwa na uwezo tunajiamulia Tuuu! Bila kufikiria!
  14. Pc

    Uganda Ebola outbreak

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano imetoa mwongozo wowote ? Naona Kenya washatoa! Au ndio tumsubiri Mwenyezi atusaidie??
  15. Pc

    Idara ya Usalama wa Taifa yakanusha tuhuma

    Hii ni dharau kubwa sana. Yaani mnakaa kabisa kwenye mikutano yenu huko kwenye ofisi zenu na kuamua kutoa taarifa kama hiii! Shame on you ! Hamna hata mtu mwenye upeo kidorgo akawapa jicho la nje. Kanusheni basi kama huyo "Rama" sio mfanyakazi wa idara na hizo details sio zake kama mnaweza!
  16. Pc

    2015: Tunahitaji Rais mwenye UWEZO!

    Siku zote tunahitaji rais mwenye uwezo! Sio tu 2015!
  17. Pc

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza ku-resign!

    Kweli ameamua kuepusha shari je unajua watoto wa sisi walala hoi watafanyiwa upasuaji wapi?
  18. Pc

    UN has rejected Doctor's (MAT) Request

    Unafikiria kwa kutumia ubongo au kutumia kiungo kingine? Hao wapuuzi ndio unawakumbuka wakati pressure ya damu ya wazazi wako inapopanda halafu wakikwambia ufanye brain scan kwa wazazi wako unawakimbiza India na wewe unaona sawa tuu. Angalia vitu kwa upana zaidi! If you can't see it the it's...
Back
Top Bottom