Junazungumzia mustakabari wa Nchi au ya Chadema. Wengine wanaonyesha hata Uhitler wao kama David Cameroon wa UK na falsafa yake ya Multiculturism has Failed & Lets Guard European Values. Uchumi wa Dunia unapita wakati mgumu hata huko Ulaya kupanda kwa gharama za maisha haswa Uingereza...
Usomi ni kuwa na weledi wa kuchambua mambo na kufanya maamuzi kwa kuwa na taarifa sahihi (informed decision) sio kusukumwa na utashi wa kisiasa na kucheza zumari wanayopiga wengine. Mitandao kama JamiiForum inapoteza muelekeo kama malengo yake ni kuleta yaliyoleteleza ya Tunisia, Misri na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.