Search results

  1. A

    Ada elekezi kwa Shule binafsi kutolewa Desemba 15 mwaka huu

    Ni vizuri tukaelewa kwamba kilicho kuwa kinawapa kiburi Watanzania kupeleka watoto private schools ni urahisi wa kupata pesa kupitia wizi wa pesa za umma.
  2. A

    Ada elekezi kwa Shule binafsi kutolewa Desemba 15 mwaka huu

    jambo ninaloliona hapa kwanza udhibiti wa wizi wa pesa za umma ukibanwa vizuri automatically watu watarudisha watoto wao goverment school na hizo shule zitakosa wanafunzi. 2. inawezekana kabisa serikali ikaelemewa na mzigo wa kuwa na wanafunzi wengi sana kwani elimu itakuwa bure
  3. A

    Jamani wanaume wasomi mna nini?

    Wacha yamkute ndiyo aliyo chagua. Hakutafuta mume alitafuta msomi
  4. A

    CHADEMA imetuangusha, Ni wakati sasa wa Mbowe kuachia ngazi!

    kaka usiwe na tabia ya kupuuza ushauri nyeti kiasi hiki jitahidi kupanua upeo wako uone hatari zijazo mbele siyo kuangalia ncha ya vidole gumba vyako
  5. A

    CCM Arusha ikiongeza bidii kidogo inarudisha jimbo 2015

    Swala la utendaji kwa manufaa ya wananchi ni muhimu sana muda wa kulumbana umepitwa na wakati na wananchi wanazidi kuchoka na maisha yanasonga mbele tuanze kuwasukuma tulio wachagua wawajibike siyo ombi.
  6. A

    Green guard wavamia Ngome ya CHADEMA - Sombetini na kujeruhi watu

    Poleni sana ila inasikitisha sana tunako kwenda ndugu zangu hii kata tu. Au mnasiri tofauti na uchaguzi.
  7. A

    Picha - Unazungumziaje mgombea wa CUF kumnadi mwenzake wa CCM? Hii imetoke Sombetini

    Comment zenu zinaonyesha ni jinsi gani hamja komaa kisiasa ila pole pole mtaelewa kwani kinacho wasumbua ni mapenzi na chama chenu jambo ambalo ndilo lililo ifikisha nchi yetu hapa tulipo sasa. Nikikuonyesha picha niliyo piga na Bananga utacomment nini. Tunaomba mungu mtaelewa taratibu wananchi...
  8. A

    Dr.Kitila Mkumbo: Tunahitaji mbadala wa CCM na CHADEMA

    Kabisa mkuu Dr. Mkumbo anzisheni mi nitakuwa mwanachama wa mkoa wa Arusha hakikisheni ni mu wakweli na wawazi. Fanyeni haraka watanzania wanateketea kwa upotofu.
  9. A

    Mbunge aliyeolewa na kinda ajibu tuhuma! Ni aibu mbunge kutamka haya maneno!

    Mh. Umekosea sana kujibu kimya pia ni jibu tena sahihi. Muungwana akidondokwa na nguo huchutama wewe una simama. Chuchumaa mama kusitiri maungo. Mtafute kijana gizani mpe anachotaka mmalizane kimya kimya. Tusiku sikie tena kwenye mitandao wala gazetini. Anae kushauri malumbano anazidi kukuacha uchi.
  10. A

    VIDEO: Raisi, Jakaya Mrisho Kikwete, Anatakiwa Kutoa Kauli

    Huo ndiyo ubongo. Mbongo hakuna asicho juwa na tena wakisogea huko kwenye mataa ndiyo balaa kila aliye baki nyuma ni mbulula. Tuvumiliane tutafika
  11. A

    Nina wakati mgumu, ushauri wako unahitajika

    Ni haki yake kukueleza fikra zake. Na si kila wakati kuwa negative kwenye mawazo ina wezekana kafika alichokuwa anataka kapata kwa hiyo hataki kupoteza muda wazandiki wasije kuingilia raha zake.
  12. A

    Mfanyabiashara Maarufu wa Tanzanite, Erasto Msuya apigwa Risasi na kufariki papo hapo!

    Tafadhali sana usifanye majumuisho vijana wa arusha. Sema vijana wauza madini
  13. A

    Mume hanifikishi kisawasawa

    akili ya kuambiwa changanya na ya kwako. hapa sioni washauri naona mafisi yanayo subiri mzoga.
  14. A

    Je, Kikwete ni mdini?

    Mnazidi kumpa nafasi huyu jamaa mwenye udini azidi kupandikiza mbegu zake, i beleave akikosa wa kumjibu au kulumbana nae atakaa kimya lets keep silence.
  15. A

    Elections 2010 Wadhamini Kikwete 14,069; Slaa 1.3 million

    Idadi ya wadhamini si oni kama ni issue ya msingi. Ushauri wangu wa msingi kwa uma wa tanzania tumpigie kura dr. Slaa kwa wingi sana pamoja na wabunge wengi wa upinzani ili bunge letu liweze kuwa la ukweli na hakika d. Slaa this time hatoweza kumuangusha raisi kikwete lakini tukiwa na wabunge...
  16. A

    Hivi hii ni normal au nina tatizo?

    Boss kama ni kweli unadeka na kujiendekeza, kuona ndio kuamini kaza buti kidume yatakayo kukuta ndio yako. kula au kuliwa
  17. A

    Mwanamke hawezi kumsahau mwanamume aliyemleta katika dunia ya mapenzi?

    Vijana si kwamba wana kumbukwa, ila wanahofu na mademu, wake zao kuwa wana wakumbuka wanaume walio wabikiri. huo ni woga wao tu wapendeni wenza wenu kwa dhati nao watawapenda. Palipo pita masumari hapa achi kuacha kovu.
  18. A

    Msiba

    POleni sana kaka wewe pamoja na Familia nzima Mungu awafanyie wepesi.
  19. A

    Busu la ukweli

    mapenzi hayachagui kiwanja wala mavazi
Back
Top Bottom