Search results

  1. F

    Rais Samia awa kivutio mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabia Nchi

    Si bure lazima utakuwa unameng'enywa kalio.
  2. F

    Jopo la Wanasheria 10 kuwaburuza kortini wanaotumia lugha ya matusi katika mjadala wa Bandari

    Taifa limejaa mapoyoyo. Hata hayajiamini, nafsi zao zinawasuta kabisa. They feel guilty 😂😂
  3. F

    Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

    Wagner wametumia akili kubwa sana. Walidanganya kuwa wanaenda mapumzikoni. Misafara yao ikaingia russia bila wasiwasi. Waliingia Rostov kila mtu akajua wanakuja mapumzikoni kumbe lengo lao ni kuteka ngome kubwa ya kijeshi ya Rostov palipo na kila aina ya silaha kwa ajili ya Uktaine.
  4. F

    Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

    Mbona kaikimbia Moscow. Wewe ndo kichaa. Subiri uone wanaume wanavyomfanya Putin
  5. F

    Urusi vs Wagner: Wagner wasitisha 'Uasi' na safari ya kwenda Moscow yasitishwa, wadai hawataki kumwaga damu ya Warusi

    Safari hii hachomoki. Wameteka kambi iliyo na shehena kubwa ya silaha huko Rostov kwa ajili ya kupeleka Ukraine.
  6. F

    Uamuzi wa Russia kuivamia Ukraine ni mbinu iliyoshindwa (Strategic Failure)?

    Pro Russia wanakuona wewe ndo great thinker wao. 7F ni janga la kitaifa. Jitahidini basi angalau muwe mnajisomea ili muelimike muachane na porojo na propaganda za kumezeshwa. Lakini kwa kujifanya mnajua mambo kumbe hamjui kitu hamtakaa muelimike. Ili uelimike unahitaji uwe LLUK. Tafuta maana...
  7. F

    Uamuzi wa Russia kuivamia Ukraine ni mbinu iliyoshindwa (Strategic Failure)?

    Huenda baba yako ni shoga alikuzaa kupitia matakoni. Huenda ndo maana akili yako ilichanganyika na mavi. Maana unachoandika ni uharo mtupu. Illogical statements
  8. F

    Uamuzi wa Russia kuivamia Ukraine ni mbinu iliyoshindwa (Strategic Failure)?

    Kwa akili yako unajiona umejibu maswali yaliyoulizwa. You scored (-50%). See me.
  9. F

    Uamuzi wa Russia kuivamia Ukraine ni mbinu iliyoshindwa (Strategic Failure)?

    Wewe umeuliza majukumu ya IAEA tuambie sasa. Si unayajua?
  10. F

    Uamuzi wa Russia kuivamia Ukraine ni mbinu iliyoshindwa (Strategic Failure)?

    Baada ya kurukaruka sana kama pimbi, sasa hebu tujibu haya maswali. Hebu tutafakari hoja hizi; 1. Kwa kuwa Finland ni mwanachama wa NATO. Je, Russia atadhubutu kurusha hata bomu la mkono nchini Finland kwa sasa? 2. Russia ana ubavu wa kuizuia Sweden isijiunge na NATO kama ambavyo...
  11. F

    Uamuzi wa Russia kuivamia Ukraine ni mbinu iliyoshindwa (Strategic Failure)?

    Sijui. Hebu tueleze wewe majukumu yake
  12. F

    Uamuzi wa Russia kuivamia Ukraine ni mbinu iliyoshindwa (Strategic Failure)?

    1. & 2. Hakuna aliyekukatalia kuwa ZNPP is under control of Russia troops. IAEA ndo wanasimamia ZNPP si vinginevyo zingine ni porojo tu. 3. Link zako zote ni utopolo hazina mahusiano na unachokisema. Ili ujue kuwa wewe ni mjinga zifungue uone. 4. Ni propaganda tu. Neuclear Reactors zote ziko...
  13. F

    Uamuzi wa Russia kuivamia Ukraine ni mbinu iliyoshindwa (Strategic Failure)?

    Rudi ukasome link niliyokutumia kuliko kuja na porojo ambazo hata hazipo au hazijasemwa. Sababu zimewekwa wazi kwa nini zili collapse. Wapi wamesema kuwa kuongezeka kwa interest rate ndo kumefanya hizo benki zi collapse. Kama ni issue ya interest rate kwa nini mabenki makubwa hayajaanguka?
  14. F

    Uamuzi wa Russia kuivamia Ukraine ni mbinu iliyoshindwa (Strategic Failure)?

    Ama kweli wewe ni kilaza. 1. Kwa hiyo hujui kuwa ZNPP iko chini ya usimamizi wa IAEA. 2. Ni mwaka gani grid ya umeme ilijengwa kutoka Ukraine kwenda Russia. ? 3. Kwa kuwa umeme wa ZNPP unaenda mpaka Crimea. Crimea iko nchi gani?
  15. F

    Uamuzi wa Russia kuivamia Ukraine ni mbinu iliyoshindwa (Strategic Failure)?

    1. Nilijua hutaelewa kilichoandikwa. Kwa kuwa wewe ni mazalia ya 7F sijashangaa. 2. Hebu tuwekee hapa sera unazodai ni za Federal Reserve na athari zake ili na sisi tuzione. Maana sisi sio waumini wa porojo. 3. Narudia tena kusema huna abcd za uchumi hata chembe. Labda kama ni Porojo economics.
  16. F

    Uamuzi wa Russia kuivamia Ukraine ni mbinu iliyoshindwa (Strategic Failure)?

    Kwa hiyo Russia iliivamia Ukraine kwa sababu inapinga ushoga. Kama ndo hivyo kwa nini hajaenda kuivamia USA?
Back
Top Bottom