Search results

  1. Y

    Zitto nakupa wiki moja uondoke CHADEMA

    Hahahahahahahaha
  2. Y

    Zitto nakupa wiki moja uondoke CHADEMA

    Achomoke tu, msaliti mkubwa huyo. Angalia hata ACT wasikukatae kama chama fulani kilivyomkataa SHIBUDA
  3. Y

    Nina mke mzuri sana, ila hana akili kabisa!

    Kumbe ulioa kichwa cha panzi? Maamzi yako yametulia kabisa! Kichwa cha panzi kwa karne hii hakifai kabisa mkuu timua fasta aiseeeeeeee! Ila nini kilikuponza? Uzuri wake au? Utafiti muhimu karibia asilimia 90 ya wanawake wazuri kupitiliza awanaga akili kabisa!
  4. Y

    Pesa za walipa kodi zamjengea Mh. Vicky Kamata ghorofa la 3 bilion

    ---- yake imemuwezesha kuyafikia maendeleo haraka kama alivyopanga, kama mkuu wa nchi asingetanuliwa hata nyumba ya milioni kumi angejenga mjinga huyo? Mmewe mtarajiwa kapenda kweli au naye katamani mshiko kutoka kwa jomba? Ikitokea mafisadi wote wakafa siku moja nadhani wananchi wa tz tunaweza...
  5. Y

    Kinana na Nape ni janga la kitaifa

    Viongozi wa CCM asilimia kubwa ni wendawazimutu, kwanza kinana kweli mtanzania? Napata shida kupata jawabu sahihi naomba msaada kwa wanajf. Pili nape inaonesha bado ana fikira za kizamani sana watz wa sasa hawadanganyika naona yeye na wajinga wenzie wanaigiza kula wali kwa maharage wajinga...
  6. Y

    Watanzania kuleni nyama ya panya ina vitamini adimu mwilini

    Wasomi wetu wa siku hizi nimeamini ni vichwa maji kabisa! Wanaopenda kuamini kila kinachosemwa angalieni ipo siku mtaambiwa ukila MAVI unapona kisukari na magonjwa mengine yasiyo kuwa na tiba! Hahahahahahahahaah wasomi wa bongo kweli wadwanzi kweli!
  7. Y

    Natafuta hata boyfriend tu jamani upweke unaniuaa

    Jina lisikupe shida ndugu
  8. Y

    Star TV: Mwigulu na Polepole wanachambua gharama za serikali Tatu

    Nashangaa sana kuona mwehu kama huyu Mwigulu kuteuliwa kuwa naibu waziri wa Fedha, hakika inathibitisha hata mteuaji wote vichwa maji tu!
  9. Y

    James Mbatia huna shukrani

    Mbatia ni jembe la ukweli kama vp wanaccm chukueni Ubunge wenu kwani uliutumia maombi? Mlijipendekeza wenyewe sasa mnalalama nini kama si wehu? Mh. Mbatia piga kazi wala usiwasikilize wajinga kutoka CCM wana mipasho wale
  10. Y

    Selection za matokeo ya kidato cha nne mwaka 2013

    Kesho zitatoka, bro kaniambie mana ni mtumishi kule aiseeeeeeeeeeeee!
  11. Y

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    full time sima 1 na kagera 1
  12. Y

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    dk 85 simba 1 na kagera 1
  13. Y

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    dk 75 simba 1 na kagera 1
  14. Y

    Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

    dak ya 20 okwi anaipatia bao la kwanza Yanga, dah hawa wapuuzi wanaweza shida leo! Azam na mgambo bado hawajapata kitu
  15. Y

    Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    Kazeni buti makamanda tuko nyuma yenu aiseeeeeeeeeeee? Naipenda cdm ile mbaya
  16. Y

    Live Update: Mtibwa Sugar vs Yanga SC / Azam FC vs Coastal Union

    updates vp, matokeo yako vp mpaka sasa?
  17. Y

    Picha:Mwigulu Nchemba Atikisa Kalenga hii leo,CCM USHINDI ASILIMIA 99.9

    mleta mada hilo domo lako ndio mana limekaa kimavi mavi
  18. Y

    MASAA 48 ya muhimu; wakati CHADEMA wakiipoteza CCM, polisi waingia rasmi kuwaokoa

    waccm wajinga sana, kama wanzuia chopa siku ya uchaguzi basi pasiwepo na usafiri wa aina yoyote ile miguu yao pekee ndio itumike kama usafiri la sivyo chapa za makamanda lazima zitumike. Kama vip wakanunue na wqao kama wanaona cdm wanafaidi kwani shida iko wapi au hazina imeishiwa? Rit kaimaliza...
  19. Y

    Kwa mara ya kwanza naomba kumtetea Zitto Zuberi Kabwe!

    Mambo ya kumtetea zitto yametoka wapi tena? Mleta mada utakuwa na ugonjwa na kaswende kama sijakosea
Back
Top Bottom