Search results

  1. General Mangi

    Tundu Lissu, unaweza kuthibitisha tuhuma za wizi dhidi ya Samia Suluhu Hassan?

    Hivi Rais hawezi kua Mjinga? Akiwa amjinga tumwitaje?
  2. General Mangi

    TANZIA William Malecela (Le Mutuz) afariki Dunia

    R.I.P le super bebez [emoji120]
  3. General Mangi

    Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

    Chief of staff kazi yake sio kumshauri Rais mambo ya nchi... Chief of staff ni mkuu wa watumishi wote wa ikulu, kuratibu safari za Rais, usalama, shughuli zote za ikulu, wageni nk
  4. General Mangi

    Kuuliza si ujinga: Hivi Diwani Athumani kashuka au kapanda?

    Kuna Mnikulu, huyu ni Katibu mkuu wa ikulu au Ndo huyo myeka?
  5. General Mangi

    Abigail Chams: Wazungu wanajua Afrika ni kijijini

    abicham ni msanii wa nini? Anaishi wap?
  6. General Mangi

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    pigaaa haoo warabuu
  7. General Mangi

    Argentina yatwaa ubingwa Kombe la Dunia - Qatar 2022

    Nini kimeifanya Korea Kufuzu?
  8. General Mangi

    Wasanii wangu 10 bora wa Hip Hop wa muda wote

    1. Afande sele 2. Prof Jay 3.Chid benz 4. Roma 5. Stamina 6. Ngwaire 7. FidQ 8. Joh Makin 9. Jay mo 10 Solo Thung
  9. General Mangi

    Mikasa/vituko vya lodge

    Nilienda lodge moja Tanga, sasa ile kufika akaja jamaa na dem(sijui mke wa mtu yulee).. Sasa dada akawa anatuonesha chumbaa... Ile amefungua chumba cha kwanza jamaa bila hata kukiangalia akamvuta dem wake na kubamiza mlango kwa kunyanduanaa [emoji23][emoji23][emoji23] Nilicheka sana, yani...
  10. General Mangi

    MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

    Kaka... Bakhresa ni kampuni kaka, kuna vigogo wameficha ela zao nyingi sana hapo.. Kuna makampuni mengine yanafunguliwa chini ya mwamvuli wa Azma kumbe ela za watu... Ni kwakua Jamaa hana kiherehere na mdomo kama Mo, ndo mana ngumu kujua.... Kwenye Bakhresa group unaweza kuta yeye ana hisa za...
  11. General Mangi

    US na washirika wake wajadili namna ya kutuma ndege za kivita Ukraine

    Hao wanamuhitaji Ukraine kuliko Ukraine anavyowahitaji wao.... Ulaya na Marekani wanajua Urusi akikamata Ukraine basi na wao watakua wanaishi na wasiwasi mkubwaa..., hawatapata usingizi.... Hivyo hakuna deni lolote Ukraine atailipa Marekani,
  12. General Mangi

    Machache kuhusu Malkia Elizabeth wa pili

    Rekebisha andiko lako hapo juu, kuhusu Kibg George VI kukosa mtoto wa kiume ndo mana Elizabeth akarithi.... Ufalme hauangalii jinsia hapo mzee, bali nani aliyetangulia kuzaliwa... Huyo George VI angekua na mtoto wa kiume wa pili kuzaliwa asingekua mfalme, Malkia angeendelea kushika usukani
  13. General Mangi

    Anne Makinda kusema 93% wamehesabiwa umetambuaje? Ulikuwa na idadi kabla ya sensa?

    Kipindi wanaweka anuani kila mtaa, walipata idadi ya Kaya
  14. General Mangi

    Barua ya wazi kwa Tundu Lissu kumuonya dhidi ya kutetea masikini na wapumbavu

    Lissu hawezi elewa hii, mpk siku atakapozikwa pale Ikungi na masikini wake
  15. General Mangi

    Wakili Kibatala hili la mfanyakazi TRC anatafuta umaarufu

    Mkuu, Kuna kesi moja, naibu katibu wa CWT( chama cha walimu) alifukuzwa kazi na Katibu mkuu utumishi... Jamaa alikata rufaa tume, akashindwa, akakata rufaa kwa Rais akashindwa. Jamaa alienda Mahakama kuu, alishinda ile kesi. Alishinda kwa sababu KM UTUMISHI hana mamlaka ya kumfukuza mwalim kazi...
Back
Top Bottom