Search results

  1. samaki2011

    January Makamba: Kasi ya Magufuli, Majaliwa imeipa Uhai CCM

    Kumbe ccm ilikufa? asante sana jmakamb kwa kututhibitishia kwamba hatukuwa na serikali hapo nyuma ndomana kila mmoja alikuwa anajichumia tatakavyo
  2. samaki2011

    Familia ya Mawazo na CHADEMA washinda kesi ya pingamizi la polisi, sasa kesi ya msingi kusikilizwa

    kuna haja ya kuwashughulikia hao watumwa wanaowatumikia watu fulani kwa maslahi yao na familia zao. Hongera chdm
  3. samaki2011

    Watanzania tunamsifia Magufuli kwa kuvamia maofisini?

    Hivi nikweli magufuli hajawahi fika Muhimbili ktk maisha yake yote hajui wala hajawahi sikia habari za MOI? inawezekana hujamwelewa mtoa mada. Mtoa mada anatutaka tuwe na analytical thinking, deep and broad understanding na sio kukurupuka na kuanza kutoa misifa, kaa angalia mwelekeo, msome mtu...
  4. samaki2011

    Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

    Wadau naomba kujua ni kwanini JK amemaliza muda wake lakini havunji baraza la mawaziri? Hii imekaeje
  5. samaki2011

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, ajipima ubavu na Wana-Mwanza

    kama anatangaza vita pw na sisi tunajua mahali pakuanzia, awapange hao policcm wake na sisi tunajua la kufanya atajutia maisha yake yote na ccm yake
  6. samaki2011

    Kikwete kushindwa kuja kutuaga mikoani kulikoni?

    huku kwetu hatumhitaji, na wala asikanyage kabisa
  7. samaki2011

    Yaliyojiri Uwanja wa Bwawani Karatu: Mkutano wa kampeni CCM - Oktoba 5, 2015

    ccm huwa hawajitambui kabisa, ni sawa na mwanamke mwenye sura mbaya halafu na yeye anajipitisha pitisha akijinasibu kwamba ni mzuri kwikwikwiiiiiiiiii
  8. samaki2011

    M/kiti CCM Kilakala ndg. Hoza na Katibu CCM mkoa Morogoro ndg. Kimeta wamepata ajali

    duuu nashindwa niseme nini, ndani ya mwezi mmoja ajali zinawaandama viongozi wa kisiasa, jamani chondechonde kile chama kilichozoea kutoa makafara
  9. samaki2011

    Lowassa ni mtu hatari sana, namwogopa kwa kweli

    cha ajabu ccm hawajastuka bado kitanuka muda si mrefu
  10. samaki2011

    Msafara wa Lowassa wasimamishwa Ubungo

    Hawa watu ni sheeda, wanatumikishwa kama malaika wa shetani
  11. samaki2011

    Msafara wa Lowassa wasimamishwa Ubungo

    Nimepitia comment zote ndani ya uzi huu sijaona comment za faiza fox, lizabon, et al naona wanachungulia kwa mbaaaali ka wale watoza ushuru
  12. samaki2011

    Twiga wanaoonekana kwenye mitandao ya kijamii na kudaiwa kuwa ni twiga wa Tanzania, Si kweli

    Baada ya tar 25 viongozi wengi wa ccm itakuwa zamu yenu kukaa lupango, mmetuonea na kutuibia vya kutosha
  13. samaki2011

    Mahakama kuu yatengua hukumu dhidi ya Mbowe, yaamuru arudishiwe faini aliyolipa

    Uhuru wa mahakama kwa Tanzania ndio sera yetu lakini hata hivyo inategemeana na Hakimu au Jaji, wengine wanatumika vbaya
  14. samaki2011

    Wafanyakazi wengi serikalini kumpigia kura JP Magufuli

    huko mtwara, masasi mmeingiza masanduku ya kura fake, kesi iko polisi hamtoki mmenasa kwenye tope
  15. samaki2011

    Wafanyakazi wengi serikalini kumpigia kura JP Magufuli

    hapa kwetu asilimia 95 ni Lowasa huo utafiti wako uliufanyia lumumba
  16. samaki2011

    Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

    Mgufuli ndo mnyama gani
  17. samaki2011

    Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

    Ha ha ha ha daaa mkuu umenichekesha mpaka basi duu, nishawahi ona mtu aliye pagawa na mapepo akiombewa weeee hautathubutu kukaa karibu Nawashauri wananchi wanapoenda kwenye ile mikutano yake wakae kwa tahadhari maana lolote laweza tokea
  18. samaki2011

    Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

    Jana nikamwona anarukaruka jukwaani kama mtu anayetaka kupigana ndondi, ccm kweli wameishiwa
  19. samaki2011

    Lowassa anaumwa Parkinson's disease, urais atauwezaje?

    Ole wako Mola aone hili unalolisema kwa mtu ambaye hajawahi inua kinywa chake na kumsema mtu vibaya, nakwambia Mola akiliona hili utatangulia mapema na utamwacha Lowasa. Kweli nasema Mungu akusamehe kwani haujui ulitendalo
Back
Top Bottom