Search results

  1. Gusa Unase

    Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Mwenye masikio na asikie..... Very well said mkuu[emoji106]
  2. Gusa Unase

    Hans Pope, jeuri na kisiki

    Sio kweli unalisha watu matango pori kama hauna hakika na jambo ama taarifa u better ask
  3. Gusa Unase

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Doh namna ganii tena?
  4. Gusa Unase

    Reggae Lovers Rock!

    Nani anamuelewa Tarrus Riley the brother is hot, Reggae 4living Airee!!!
  5. Gusa Unase

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Upo viziri the Bold
  6. Gusa Unase

    Lucky Dube ana mziki mzuri kuliko Bob Marley.

    You are comparing uncomparables,dube na Bob ni usingizi na kifo wote mnaoshabikia dube sio wapenz wa reggae mnapenda kwaya na midundo iliyoimbwa na mfugarasta dube ila the Legend of reggae ni Bob Marley haihitaji rocket science kujua hilo ni ufuatiliaji tu simple kama hujui just google...
  7. Gusa Unase

    Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

    Upo vzuri the bold
  8. Gusa Unase

    TANZIA: Rtd Major General Anatoli R. Kamazima amefariki dunia

    Poleni sana kina Agrey na wengine wote mungu ametoa na mungu ametwaa.. . . .RIP Afande wetu!
  9. Gusa Unase

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Ni kweli we hv to admit hawa jamaa walitutangulia na wapo wengi wenye shule in comparison with Makabila mengine na ndo tayari wapo kw system hivyo ni ngumu kufikia uwiano ulio sawa ukizingatia yako makabila zaidi ya 120 hapa nyumbani,so lets take it az a challenge tuwapeleke wanetu shule ili...
  10. Gusa Unase

    Dr Kikwete Kumteua Dr.slaa kuwa MBunge?

    Unatushawishi vp tununue habari yko cz ts lyk utabiri wa waganga wa jadi..
  11. Gusa Unase

    Mwandishi wa BBC akamatwa kwa kuhoji shule kukosa vyoo Mwanza

    Shame on him,ila hw iz it going so far tupeane updates ths story ni aibu kubwa kwa watendaji wa SIRIKALI yetu,cz thy are mo worse than Kabwe walio wengi., KIDUMU CHAMA CHA MAFISADI
  12. Gusa Unase

    Nalia Mie: Nani Muuaji wa Askari HUYU

    Realy wanaJF we are great thinkers,kila lenye mwanzo lina mwisho wake there will come a time when every action will have equal and opposite reaction Tanzania doesnt end with our generation but hii nchi imeoza 4now......nawasilisha.
  13. Gusa Unase

    Marrying a chagga

    hizo zinaitwa choko choko we dnt expect Mwana JF kukosa something educating than this tuelimishane jamani tuache kuwa self centered lets do things for Jamii, ni hayo tu!
  14. Gusa Unase

    Mbowe, Dr Slaa na Mnyika ni viongozi hovyo hovyo

    huyu habari ndio hiyo ana harufu kali ya kifisadi na wazi amejionyesha kuwa yeye ndio wa hovyo hovyo! ni hayo tu...
  15. Gusa Unase

    Mpenzi wangu hataki kunipa tunda,nifanyeje jamani?

    ampe movie ya pono akigoma kutoa basi si mzima huyo.
  16. Gusa Unase

    Kikwete's most embarassing statements...

    Huyu jamaa tusimlaumu sana imeshaonekana kuwa ngoma imekua nzito kwake tumuache amalizie akapumzike kwa amani.
  17. Gusa Unase

    Big Brother Africa 2009: The Revolution

    much respect kwa wadau wote wa JF its such an educating forum lets build our nation guys maana hawa mafisadi wanatisha!
Back
Top Bottom