Search results

  1. A

    Rais Kikwete, hivi ni lazima uwalinde mafisadi kama Dk. Idris Rashid, Hosea, n.k.??

    Nadhani umesahau kuwa kabla ya ubwana mkubwa nilikuwa Bernard Membe na baadhi ya mikataba kama IPTL na suala la nyumba ya ubalozi wa Tz kule Italy vinaweza kunipitia so i've to be xtra careful.
  2. A

    Hv, CCM kuna biashara gani?

    Kama katibu wa CCM mkoa wa Lukuvi anamilki Mercedes Benz lamamilioni ya pesa, halafu m2 mwenyewe ni std 7, najuliza hv humu chamani kuna biznesi gani mpaka mtu akareizi from ukapuku mpaka kumiliki benz ?
  3. A

    Makamba na ukinyonga wake

    Katika taarifa ya habari ya ITV jana jana usiku katibu mkuu wa CCM Mh. Yusuph Makamba akiwa jimboni kwa Spika wa Bunge Mh Sitta huko Urambo Mashariki amemsifia Spika huyo kwa maneno mengi ya kisiasa nakielimu. Je, huyu Makamba huu ukinyoga wake mpaka lini ? Maana aliyoongea kwenye NEC na jana...
  4. A

    Je ni nani Mzalendo wa kweli: Zitto, Pinda, JK au Lipumba?

    Kwa suala la uzalendo nafikri yatupasa tuupime kwa vitendo na si kwa kuongea na kukosoa sana serikari wanakofanya wabunge wetu wawapo bungeni, sababu wanacho tetea bungeni wanaogopa kukitetea katika vikao vya NEC, hilo ni la wabunge ukija Rais wetu ndo sijui niuweke kwenye kundi gani! nasema...
  5. A

    Hotuba ya kambi ya upinzani -- muungano

    Kuhusu suala la matatizo ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, napenda kukubali kuwa hakukufuatwa maoni ya watanzania wa pande zote mbili, hili la kwanza la pili nafikiri ni mipango ya watu wachache ambao wanahisi kukosa nafasi za uongozi katika muungano nasema hivyo sababu katika zunuka yangu...
Back
Top Bottom