Mnakuwa wapumbavu Sana,angelikuwepo mbona zamani tu angelishakubali maana nae anataka maendeleo na huu mkataba tangu yupo alikuwa akifuatilia na kuutaka lakini bado muda ulikuwa haujafika
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Arusha mh Catherine Magige ameendelea na ziara yake ya kikazi leo wilayani Monduli. Akiwa kata ya mto wa mbu mbunge alikutana na baraza kuu la UWT wilaya monduli pamoja na wataalam(wakuu wa idara). Mh mbunge alifuatana na katibu wa UWT mkoa wa Arusha Irimina...
Hawa jamaa ni wakuwanyonga kabisa,mume alitaka kuwahonga askari milioni mia tatu lakini kwa uaminifu na utendaji mzuri wa maaskari wetu walikataa kupokea hizo fedha,lengo ni kutaka mkewe aachiwe huru ili akamatwe peke yake.
Wamewaumiza sana wadogo zetu
Mkuu ingelikuwa Tanesco ya Tabata ungelishatatuliwa matatizo yako haraka sana,lakini hao wengine wanakujibu hivyo kwa sababu tu hawataku kushuhulishwa kwa kazi zao wenyewe walizoajiriwa nazo.
Hata kama kwenu lakini huna unachokijua kuhusiana na maendeleo,kwani kupajua kwenu ndio kusema utajua kila kinachoendelea?maana hata hujui kuwa pesa zilizojenga hospitali ya nduruma ziliombwa na Mh Amina Mollel na akapewa milioni mia tano,hujui hata kinachoendelea hata arumeru yenyewe huijui ya...
Yaani watu wa ajabu sana,wana ccm wanajuwa kuwa kuna kanuni za kuanza kampeni na adhabu zake,ni makosa makubwa kuanzisha makundi ya kukusapoti urais wakati muda haujafika.
Pia hakuna Rais kwa taratibu za ccm kukaa muhula mmoja.
Wanachonishangaza chadema kumpigia debe Membe kuwa Rais 2020 ni...
Kabla kukoment tafuta kwanza sehemu inayoitwa arumeru Magharibi,mashariki yupo Nassari tafuta magharibi ndio uje useme habari ya fund za kujitolea,hujui arumeru magharibi utajua habari ya miradi dogo?
Msidandie kabla kujua hata sehemu
Kwa kipindi kirefu sana wananchi wa jimbo la Arumeru Magharibi hawakuwahi kupata mtu wa kuwasemea bungeni kwa matatizo mengi sana waliyonayo licha ya kuwa wana mbunge(chadema) ambae hajawahi hata mara moja kujitokeza jimboni kwake na hivyo kuwafanya wananchi wa Arumeru Magharibi kutomjua mbunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.