Search results

  1. M

    Nikaenda kumzika ibilisi wangu....!

    Pole sana ndugu yangu, popote tulipo yupo pia ibilisi na ndiyo chanzo cha MAOVU yote haya, yote mwachie Mungu, kwani yeye hujidhihirisha kwetu wanadamu na kutupa mafunzo kwa njia mbalimbali. Mungu aliona atumie njia hii aweze kutufanya tuamini kwambe yeye ndiye Mungu na ndiye mweza wa yote. Yote...
  2. M

    Wassira kwa ulalaji

    Kusinzia ni pumziko jema sana, ingawa Bungeni siyo mahala pake, hata hivyo mzee wetu Wasira katumikia nchi hii muda mrefu, ana haki ya kuwa mchovu
  3. M

    Elections 2010 OCD Kyela agoma kulinda helikopta ya Dk. Slaa

    Inashangaza sana hii inatuonyesha wazi kuwa baadhi ya viongzi wa serikali hawajaelewa utendaji wao wa kazi katika mfumo wa vyama vingi na hasa katika kipindi kama hiki cha kampeni. Mission and Vision ya Kazi ya Police ni ulinzi wa Raia pamoja na mali zao. Huyu OCD awajibishwe pamoja na wenzake...
  4. M

    Wasiostahili kurudi bungeni 2010

    Naam, katika orodha hii asikosekane Andrew Chenge
  5. M

    Wizi wa $77milion kupitia tra.go.tz

    Ni vizuri Mafisadi hawa wakadhibitiwa mapema, tupe taarifa zaidi mkuu
Back
Top Bottom