Search results

  1. L

    Kuoa mwanamke mwenye mtoto ni shida

    Sometimes I wonder mtu mzima na mindevu na watoto kadhaa anaogopa eti kwao watamsema akifanya maamuzi fulani yanayohusu familia yake, daaaaaaaaaaaaaaaaaaa, umewaolea kwenu auuuu??????, are you a boy????????, You can't be them, live your thoughts, stop striving making others happy, You'll never...
  2. L

    Kwa wale wenye presha ya kupanda watumia dawa hizi Tiba Mbadala watapona

    Nakukubali sana Mzizi mkavu, unasaidia wengi sana zaidi ya unavyoweza kudhani
  3. L

    Mazingaombwe (Jugglery) ni Sayansi au Uchawi?

    Kuna mazingaombwe ambayo ni uchawi lakini pia kuna mazingaombwe ambayo ni just tricks tu na janja janja nyingi, ukitaka kuziona hizi janja janja, kuna kipindi kinaitwa breaking the magician codes au biggest secrets now revealed, hapa utakutana na jamaa aliyebobea ambaye anaonesha mazingaombwe...
  4. L

    Msaada: Nisije ua mpenzi wangu wa zamani kwa alichonifanyia

    Usije kurudia kabisa kumuamini mwanamke kwa 100% mkuu, hawa viumbe akili zao wenyewe hawazijuagi, afu hawajuagi wanataka nini.
  5. L

    The perfect one night stand

    Mi nlikuwa natembea kariakoo night afu sijavaa boxer, nlikuwa nimevaa pensi langu tu kwa juu, jamaa ndani yupo angle 90, basi banaaaa ile kupita hivi si nikaanguka chini, kuna mdada alikuwa pembeni kajikwaa akamkalia mheshimiwa aliyekuwa 90 degrees ukizingatia madada wengi wa sku izi hawavai...
  6. L

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Ninavyojua mimi hapo hakuna tatizo zaidi ya saikolojia ya huyo mpnz wako, wengi wamejichua nikiwemo mimi pia lakini tatizo kama hilo sijawahi kulipata hata siku moja, sasa kumsaidia fanya hivi: Msifie kila mnapomaliza tendo la ndoa Jifanye umeridhika kabisa kila unapokutana nae kimwili...
  7. L

    Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Mkuu mbona jamaa kasema saa 4 usiku?????, Watanzania tuwe tunasoma Post ya mtu mwanzo hadi mwisho sio kufanya skimming afu unakimbilia kupost
Back
Top Bottom