Kwanini asingetimiza kwanza ndoto zake ndio aolewe? kama hapendi kuitwa mchungaji kwanini ameanzisha kanisa la nini? na kwakuwa ameanzisha kanisa anapendwa tumuite nani?
ukienda umetaka mwenyewe, huko hawafundishi ufalme wa Mungu, wanakomaa na mafanikio ambayo hata ukifanikiwa kuna kufa, hawaamini watu kuacha dhambi, ndio maana si ajabu dada poa ukamkuta na mafuta ya upako
ukisema hayana faida, unakosea yasingekuwepo basi, ukisema hayakui wakati tunaona watu ana duka mtaa huu anaenda kufungua duka mtaa mwingine huko sio kukua? kumbuka hawa ni retail trade hawategemei faida kwenye bidhaa moja, duka la mangi lina sukari, mchele, unga, maharage, na ni mahitaji ya...
Christina shusho, Martha Baraka, Martha mwaipaja, Bahati Bukuku, Uchungaji wameutoa wapi? Mungu aliwapa Karama ya kuimba na kupitia kuimba Mungu aliwainua kutoka viwango mpaka viwango nani amewaroga kukimbilia uchungaji? ni tamaa ya pesa au Mungu kawaambia?
Maswali mengine ni ya kijinga sana, yaani unataka sisi tukujibu kwanini Mungu ana wivu, si umuulize mwenyewe ili upate majibu yaliyosahihi juu ya huo wivu wake?
Kazi ya kupaka wanawake rangi, inawaharibu vijana kisaikolojia, miaka ya baadaye itakuwa ngumu kupata wanaume rijal kabisa watakuwa trip moja shamba trip moja gereji, kutwa kuangalia mapaja ya wanawake, tena wanawake wenyewe siku hizi nguo za ndani hawafai mtihani sana.
nilishampiga mke wangu...
USHAURI WANGU
Kama una access ya kupata milion 15/20 achana na habari za kusoma kwanza, huko Nkasi Rukwa kilimo cha mahindi kinastawi sana, na biashara ya mazao pale Boda ya Tunduma ni biashara nzuri unaweza anza kidogo kidogo, au shuka bondeni kalime mpunga kule kilyamatundu-kituku kuna kilimo...
Shida huwa inakuwa kuhesabiana mabaya ndio kunafanya hata umuone mwenzio hafai, uone amepungua kitu, kusikiliza maneno ya wengine juu ya ndoa yako, kulinganisha ndoa yako na ndoa ya wengine hayo ndio yanaharibu kila kitu
Tigo niliacha kutumia kwa sababu zifuatazo
1. Network yao ni shida sana hasa upande wa internet
2. mara nyingi kuna changamoto kwenye meseji mtu anaweza kuambia nimekutumia meseji hujaona, kumbe meseji yenyewe haujapata unaingia kwenye lawama
Tangu nimehamia Airtel mambo ni mswano. Laini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.