Search results

  1. G

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Wanajamii safari bado ni ndefu.Umaskini na ujinga wa Wananchi ndo Mtaji wa Chama fulani sikitaji.Ila nadhani siku zinahesabika ikiwa Vyama Mbadala vitajizatiti nakuoyesha nia ya kuwasaidia Watanzania kwa uhalisia wake.Mungu ibariki Tanzania.
  2. G

    Kijana amwagiwa Tindikali Igunga

    Pole sana kwa aliyemwagiwa Tindikali ila najua siku za Mwizi huwa ni Arobaini na mtenda hutendwa. Hivyo siku zao zinahesabika.Wananchi wa Igunga kama hawatapambanua haya wameliwa. Wajiulize ni watu wangapi wanaugua hapo Igunga na hawapati huduma ya Kukodiwa ndege na Serikali? Ni shule ngapi...
  3. G

    Mwenyekiti wa CCM ajiunga Chadema

    Haya Zumbemkuu.Tumekusikia
  4. G

    Dr. Willibrod Slaa = The Fernando Lugo of Paraguay!

    Wanasema Nabii hana heshima kwao. Ikiwa tutapoteza hiki kichwa basi tumeliwa maendeleo Tanzania yatakawia sana.Ni vyema tukampatia nafasi sasa maana ni Kiongozi mzuri sana.Wanosema kwakuwa ni Padre asichaguliwe wapotoka.Watakuwa wa kwanza kujuta kwani Majuto ni Mjukuu.
  5. G

    Ana Kilango Malecela na Jimbo la Moshi Mjini

    Hizi SIASA MUNGU tu atusaidie maana wengi ni wanafiki sana.Katika hali ya kawaida Watanzania tunatakiwa kufikiria sana na kuchambua mambo kiundani.Hivi Mgombea anayewapigia Debe watu walio na kesi mahakamani tena za wizi wa pesa za Umma na kuwaita ni viongozi wazuri huyo ana akili timamu?Tena...
  6. G

    Elections 2010 Slaa: Watanzania ipuuzeni CCM

    Ni kweli Bwana ianwezekana huyo ni Post yake ya Kwanza.Si unajua tena Mtoto akianza kujifunza kutembea.....?Anasema tuwe wachambuzi wakati yeye mwneyewe uwezo wa kupambanua mambo hana....huyu naona kaja leo kabisa. Ni maoni yake anyway tuachane naye. Slaa uko juu endelea mwendo ni huo...
  7. G

    Chemsha Bongo; Simba, Chui na Fisi nani ataruka futi sita?

    Sijajua fani yako ila ungekuwa Mwalimu ungeishia kuwapa wanafunzi wako alama 20 kwa 20 kama swali lilikuwa na Alama hizo. Maana swali lenyewe halieleweki na ukiliangalia vizuri halina uhusiano na Watalii, Ngorongoro, jiwe la futi 6 na hao wanyama. Liangalie na ulitunge upya vinginevyo...
  8. G

    Jimbo la Spika lawaka moto!

    Uongozi ni kupokezana kila mmoja anajaribu. Kwakuwa kila mtu anahaki ya kugombea mie sioni shida kuwa na Wagombea wengi. Tumwache naye ajaribu japo hatujui kipya alichonacho. Hizo ahadi tu zimeshanipa wasiwasi juu yake. Gofu Zulu
  9. G

    Rais mtarajiwa mwaka 2020

    Brooklyn wewe ni Mkolofi kabisa. Kulamba au kusugua chini Mkono ni siri ya mtu mwenyewe. Naweza kukwambia nitasugua chini kumbe kimoyomoyo najua ntaulamba au kinyume chake. Nakubaliana na Samvande 2002 kuwa tujaribu kupost vitu vyenye akili kidogo. Hayo mapicha yalopostiwa ya huyo kijana wa...
  10. G

    Natafuta mchumba

    We Mrembo hebu twanga kwenye simu namba 0783611602 utapata maelezo huko.Yawezekana kabisa tukamatch Mama. Werekam Gofu
  11. G

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Ni udhaifu Mkubwa sana huu. Kwa wanamaombi mzidi kuomba(Wamsikitini waende na wa makanisani nao pia) maana hali ya NCHI yetu si njema sana. Tunayo mambo mengi sana ya kujadili Bungeni, inapofikia twaleta mambo ya Police Bungeni ujue kuna tatizo kubwa kwenye System. Jerry Muro Pole lakini...
  12. G

    Ingekuwa wewe Ungefanyaje?

    Hiyo ni Kasheshe kwakweli. Nadhani hawa Wazazi walikuwa na Matatizo makubwa sana kwenye ndoa yao. Mungu awasamehe bure kabisa nasi tusiooa atusaidie tupate Wachumba wema. Kama yupo MSICHANA anayedhani ananafuu kidogo basi anijulishe nianze pilka za awali. Usihofu mie siangaliii dini ila ni...
  13. G

    Hivi Bikira ina faida gani?

    Issue ya Bikira Wazee ni ngumu sana. Waweza kumpata mwenye utepe na mara tu ya kuukata umeliwa Mzee watu wataatamia hayo Mayai mpaka wachoke. Kadhalika waweza kumpata mtu ambaye utepe ulishachukuliwa na wajanja lakini akawa ameshapata somo na ukimuweka ndani akawa ni mali yako pekeeee. Haya...
  14. G

    kubakwa hospitalini?

    Duuu du du du! Kwakweli nikioa Mke wangu atakuwa anatibiwa mbele ya macho yangu. Nitahakikisha anatoa maelezo kwa Daktari nikiwepo na Daktari anatoa Prescription yake nikiwepo. Akibakwa atake mwenyewe kwa muda wake. Hii kali kwakweli. Madaktari mna matatizo gani jamani.Au mmekuwa Sokwe?Si...
  15. G

    Hii densi mwaionaje jamani?

    Hi guys. I want to edit my name and password in jamii forum, what are the procedures?Nisaidieni Wazee. Look you then.
  16. G

    Hii densi mwaionaje jamani?

    Titchaz ndio dunia hiyo, tutafika tu hata usiogope lakini kwa wasoma Biblia imeandikwa Shika sana ulichonacho....... Tchao.
  17. G

    Lowassa vs Sumaye

    Kwangu mie naona hakuna mwenye unafuu maana ingekuwa twatumia Quran kuwaelezea basi tungesema wote ni haramu maana hakuna cha nguruwe mdogo wala mkubwa kama ni nguruwe ni nguruwe tu. Sijui huyu kachafuka kidogo au sana hayo ni maneno ya kujifariji tu. Kuku ni Kuku Jogoo ni jina tu. Wakubwa...
  18. G

    Mpenzi asiyekupenda na kukujali atakufanyia haya ...

    Aslam aleykhm Kwakweli mimi ni mgeni kabisa katika nchi hii. Nitajitahidi nifanye utafiti kwani wanasema kama hujafanya utafiti basi huna haki ya kuongea/kusema. Lakini kwa wanaojua na kutumegea namna hii basi inatusaidis kwa kiasi fulani. Laki ni wengine wanafanya hivyo ili kulipiza kisasi...
  19. G

    Hii ndio serikali ya ubungo mataa

    Kwakweli hali ni mbaya sana.Nilikuwa Ubungo nasubiri foleni,natokea Riverside nakwenda Shekilango. Wakatokea hao wazee unaowasema wakachukua Site Mirror zangu zote kwakweli ikanibidi nibaki nawaangalia tu maana kama ulivyoeleza walikuwa na hizo dispisi ukithubutu kutoa kichwa chako wanakuchoma...
  20. G

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Wakielimisha ni sawa tu ila wakifikia hatua ya kuwachagulia watu viongozi twaweza kuwa na neno. Kwa sasa nahitaji waendeleze elimu hiyo kabla mambo hayajawa mabaya zaidi ya ilivyo sasa. Kabla Tembo wa Loliondo, Mikumi, Selous, Manyara na kwinineko hawajaisha.Kabla mashimo ya Geita, Chunya etc...
Back
Top Bottom