Search results

  1. david godfrey

    Kwanini Rais Kikwete anabadilisha sana Bodyguard?

    jk alistaafu jeshi akiwa luten kanali so aliyekuw bodyguard wake wa awali alipnd cheo n kuwa brigadia so kitaratbu za jeshi lao haitakiwi brigadia kuw bodyguard wa luteni kanali ndo maana bodyguard wa sasa hivi n luten kanali
  2. david godfrey

    Shehena za vipodozi feki zakamatwa mkoani iringa

    Mali za wakuu hizo baba...mby zmepita kimyaa kimyaa..mpk kukamatwa iringa...,hii inamaana road block zte za mby zimelala n polisi wote wa mby wanakoroma cyo...au ndo mlungula ulitembea hapo....kunani askar mbeya.....?
  3. david godfrey

    Hongereni wadau waliyojinyakulia cpa

    Mbona wataalamu wa hii ki2 wanakula xana bata.....mjin.....waujumu uchumi nn....
  4. david godfrey

    Ni kweli Rais JK anastahilii kupongezwa??

    Hivi watanzania....tujiulize kujiuzuru kwa waziri n suluhisho...me nahisi n hatua ya awali baada ya hapo sheria ichukue mkondo wke ila c kwa mahakama za majaji wezi wala rushwa n wasiotenda haki km mahakama za nchi hii ikiwezekana wafikishe the heity uholanzi...
  5. david godfrey

    Dhihaka kwenye uongozi wa nchi mpaka lini?

    Naumia sana n hawa wezi wa nchi hii.....ila haya yote n mpka serikali hii dhaifu itokee madarakani....
  6. david godfrey

    Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Kweli kbxa kaka, watu wengi wana aibu kwamba wataonekanaje kwa jamii iliyo wazunguka...pia kuna hili swala la kukatixhana tamaa pia n tatizo kubwa ktk miongoni mwetu.
Back
Top Bottom