Search results

  1. Lady.A

    Naomba mnisaidie namna ya kuagiza bidhaa Uganda

    Habari za siku nyingi wakuu, katika watu wakongwe hapa JF mimi pia mmojawapo sema nilipotea hapa kati. Naomba mwenye kujua vizuri namba ya kuagiza vitu uganda kama nguo, viatu begi n k anipm nahitaji msaada wa karibu tafadhali. Nimesoma Uzi za nyuma zinazohusu biashara za nguo Uganda lakini...
  2. Lady.A

    Natafuta soko la mahindi mabichi

    Habari Wakuu, Nina heka moja ya mahindi mabichi natafuta mnunuzi, shamba lipo Kilombero Morogoro. Nisaidieni wakuu.
  3. Lady.A

    Uzi wa vyakula tu

    Mambo gani haya sasa duh!🥰😋
  4. Lady.A

    Uzi maalumu kwa wenye chura

    mtaelewa tu usijali
  5. Lady.A

    Uzi maalumu kwa wenye chura

    tucoment nini sasa sisi wenye chura a.k.a Kikere😆😆mnaojua maana msiseme
  6. Lady.A

    Najuta kuoa

    #bujibuji nimekumiss😘
  7. Lady.A

    Nimewamiss wana Janvi

    Mbona mmekuwa kimya ghafla!!! au mlikuwa mnachat ofisini??? na muda wa ofisi umeisha!!!:D:D:D:D:D:p
  8. Lady.A

    Nimewamiss wana Janvi

    Ubuyu sina aisee, maana huku ndo unakuwaga wa kumwaga sasa nina siku sijaja.
  9. Lady.A

    Nimewamiss wana Janvi

    umeona ee,, yaani hadi sio vizuri
  10. Lady.A

    Nimewamiss wana Janvi

    Nina hamu ya kuchat leo..😜
  11. Lady.A

    Wanaume kutaka wanawake wenye pesa

    Habari zenu wana mmu, Napenda kushare nanyi juu ya hii tabia ya hawa wanaume kupenda wanawake wenye pesa (uwezo) kila siku tumezoea kuona/kusikia malalamiko wanaume wakilalamika juu ya wanawake kupenda sana pesa, sasa kinachonishangaza ni kwamba kibao siku hizi. kimegeuka, utakuta mwanaume...
  12. Lady.A

    Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Hatimae!!! Sijawahi kukutana na twin wangu.
  13. Lady.A

    Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Yaani itabidi nirudi nyuma siku moja aisee
  14. Lady.A

    Changamoto ya kupata mke

    he!!!!!!!!!!!!! kazi ipo
  15. Lady.A

    Kwanini wanamke baadhi mnashindwa haya?

    duh, poleni sana kwa mnaokosa uhondo kwenye suala Zima la "relationship" ni vizuri kuwaambia msiishi na wapenzi wenu kama vile dada zenu, mpenzi wako anatakiwa kuwa rafiki yako, kwa hiyo kuwa huru kumwambia chochote.
  16. Lady.A

    Nimejifunza kuheshimu wanawake

    Wengine wanachangia kukomoa tu, unajikomoa mwenyewe
  17. Lady.A

    Nimejifunza kuheshimu wanawake

    Sasa Kama Mungu ulisema ndo mlete dharau eti kwa kuwa ni wajibu? Na mbona wanaume siku hizi mnataka kusaidiwa majukumu mkidai maisha siku hizi ni magumu?
  18. Lady.A

    Nimejifunza kuheshimu wanawake

    Yaani kweli Mungu atamlipa maana hata Mimi kaniboa Sana!
  19. Lady.A

    Nimejifunza kuheshimu wanawake

    Mkuu hapo mtoa Uzi hakuongelea wajibu, ameongelea heshima kwa wanawake.
  20. Lady.A

    Nani yuko sahihi?

    Habari zenu wakuu, Leo napenda kushare na nyinyi juu ya hili swala la lawama kwa pande zote mbili. Siku hizi imezuka misemo utasikia eti "wanaume/wanawake walikuwa zamani bwana siku hizi hakuna kitu" kwani hawa wanawake/wanaume WA siku hizi wamezaliwa wapi na wamelelewa na akina nani...
Back
Top Bottom