Search results

  1. J C

    Usifanye makosa haya kabla ya kuingia kwenye ndoa

    Ingia uone mimi nimetahadharisha tu.
  2. J C

    Mtu akifa anaenda wapi?

    1. Mwisho wa dunia upo. 2. Waliotupwa kwenye ziwa la moto itakuwa milele. 3. Mwisho umekaribia ila siku na saa ajuaye ni Mungu tu.
  3. J C

    Mtu akifa anaenda wapi?

    Unataka majibu Gani Sasa nje ya Injili?. Ila linatimia NENO " injili kwa wanaopotea ni upuzi bali kwetu sisi tuokolewao ni nguvu inayoleta wokovu".
  4. J C

    Mtu akifa anaenda wapi?

    Angalia ulichoandika wewe kwanza. Napoteza muda hapa.
  5. J C

    Mtu akifa anaenda wapi?

    Karibu. Roho wa Bwana yupo kutupa elimu.
  6. J C

    Ewe mwanaume mwenzangu usitoe msaada wa pesa kwa ndugu yako au mtu yeyote mbele ya mke wako

    Exactly. Mwanamke hatakiwi kujua kila kitu ni lazima mwanaume uwe na kifua cha kuwaficha hawa viumbe siri.
  7. J C

    Mtu akifa anaenda wapi?

    Ukweli ni kuwa sote tunaopumua ni viumbe hai ila mwanadamu ni level nyingine Yesu anasema katika kitabu cha Luka 12:6S hore watano huuzwa kwa sarafu mbili za thamani ndogo, sivyo? Na bado Mungu hamsahau hata mmoja. 7 Lakini hata nywele zote za vichwa vyenu zimehesabiwa. Msiogope; ninyi ni...
  8. J C

    Mtu akifa anaenda wapi?

    Ukweli ni kuwa sote tunaopumua ni viumbe hai ila mwanadamu ni level nyingine Yesu anasema katika kitabu cha Luka 12:6S hore watano huuzwa kwa sarafu mbili za thamani ndogo, sivyo? Na bado Mungu hamsahau hata mmoja. 7 Lakini hata nywele zote za vichwa vyenu zimehesabiwa. Msiogope; ninyi ni...
  9. J C

    Mtu akifa anaenda wapi?

    Zaburi 73:17 ukianzia mstari wa kwanza kabisa utaona mtazamo wa Daudi juu ya hatma ya wenye kiburi aliielewa vema pale alipoamua nanukuu 17 "Mpaka nilipoingia mahali patakatifu pa Mungu penye utukufu, Nami nikatambua wakati wao ujao. " Kuna mambo hutayajua mpaka umeamua kuyajua ila ukibaki na...
  10. J C

    Mtu akifa anaenda wapi?

    Mtoa mada kaweka maandiko hapo ili kuhalalisha hoja zake ila turudi kwenye jambo moja. Katika Biblia kuna waandishi waliandika mitazamo yao na sio Neno kutoka kwa Mungu moja kwa moja bali ni mitazamo tu. Mfano Kitabu cha Mhubiri ni hekima za Suleimani na mitazamo yake mfano kila kitu kakiita...
  11. J C

    Mtu akifa anaenda wapi?

    Katika kipindi cha Elisha kulikuwa na wenye ukoma wengi katika Israel ila ni Naamani pekee aliyetakaswa wakoma wengi walikufa na ukoma wao kwa hiyo imani yako ndio itakayokuponya au kukuangamiza. Haijalishi unaamini life after or not you can not change the reality of life after death.
  12. J C

    Mtu akifa anaenda wapi?

    Mtu asiyemwamini Mungu ama mambo ya kiimani kwa usahihi ana jina lake la kitaalam nalo ni "Mshenzi"
  13. J C

    Masomo ya kuukulia wokovu (download hapa)

    Asante na Mungu akubariki. Lete mengine kama yapo.
  14. J C

    Serikali, ondoeni kikokotoo kinawaibia Watumishi wa umma

    Mungu wa wasio na uwezo awatetee dhidi ya wadhalimu wanaojificha chini ya uvuli wa sheria na kanuni kandamizi.
  15. J C

    Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Maisha ya mwalimu yanakuwa magumu kwa sababu ndio mfanyakazi anayefanya kazi mbili kwa wakati mmoja za ofisini ie. Kuandaa somo na field ie. Darasani hapohapo mshahara huohuo avae, ale, asafiri, alipie watoto ada na kama hana nyumba alipe pango asaidie ndugu kama anao n.k. Si kama kada nyingine...
  16. J C

    Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Sio kwamba inabagua. Maandiko inaandika matendo makuu yaliyotendwa na watu katika kumcha Mungu yaani yale yenye mafunzo tu.
  17. J C

    Kama una shida ni ngumu sana kupata msaada kwenye kanisa la KKKT kama hawakujui

    Kuongezeka kwa uovu upendo wa wengi utapoa. Leo hii unamsaidia mtu kisha anakudhuru. Wengi wanaingia makanisani kuomba msaada ni matapeli. Kuna mmoja alijiita mchungaji kabisa akaomba msaada nikamsaidia nikampa namba za simu akifika huko aendako anijuze tumshukuru Mungu kumbe anapita anakusanya...
  18. J C

    Jewish na Ubaguzi dhidi ya Imani Nyingine

    Hili liko kimaandiko kukatwa kwa mtini mzabibu ulimea na kustawi ila ipo siku utastawi tena. Wayahudi wanaonea Wakristo wivu baada ya wao kuukataa wokovu. Ila wakati wao kupandwa tena uko mlango.
Back
Top Bottom