Search results

  1. cecane

    Usafirishaji wa Loose Cargo kutoka Japan

    Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua kampuni zinazosafirisha mizigo (Loose Cargo) kutoka Japan kuja Tanzania. Heshima kwenu. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. cecane

    Tusipotoshane, kulikuwa na sababu za msingi kabisa kwanini Marais waliopita hawakununua ndege kama awamu hii ya tano ilivyofanya

    Mkapa pia alijinunulia ndege Tena ya kutembelea yeye mwenyewe huku waziri wake akitushauri tile nyasi kama hali yetu itaonekana kuwa dhaifu.
  3. cecane

    Vietnam Airlines, tuna cha kujifunza toka kwao!

    Raia mzalendo hawezi kubadili uraia wa nchi yake. Unapobadili uraia unaikana nchi yako. Sasa bado unataka benefits za uraia ulioukana kwa mantiki ipi?
  4. cecane

    Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

    Inanihitaji kuja kufanya Nini? Alikuwa na wakati wake na historian imeshaandikwa kwa kumbukumbu alizotuachia. Both good and bad.
  5. cecane

    Tetesi: Kisa cha Magreth Kobelo kuwa kwenye 18 za TAKUKURU ni kumchangia Tundu Lissu

    Umenena vyema. Big up!! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. cecane

    Nataka kujua bei za bati ya alaf kwa kiwandan

    Unataka au unaomba kujulishwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. cecane

    Kuanzia Leo, nampa Tuzo ya Heshima Pascal Mayalla

    Link tafadhali mkuu nami nijielimishe.
  8. cecane

    Pata data zako zote kutoka kwenye simu au kompyuta isiyowaka au isiyofunguka

    Namaana ndiyo hata iPhone tunaweza recover data.
  9. cecane

    Pata data zako zote kutoka kwenye simu au kompyuta isiyowaka au isiyofunguka

    Je unahitaji kupata data zako muhimu?(Data Recovery) Ninarudisha data kutoka kwenye * Simu mbalimbali zilizoharibika/ambazo haziwaki/ ambazo zimefunga kwa password na umeisahau. (Zinazotumia mfumo wa Android na IOS kama iphone, ipod, n.k) * Pia kutoka katika kompyuta zisizowaka au zilizofungwa...
  10. cecane

    MTAALAM WA KUANDAA PROPOSAL KWAAJILI YA MIRADI

    nip dar es salaam, miradi ni ya kijamii.
  11. cecane

    MTAALAM WA KUANDAA PROPOSAL KWAAJILI YA MIRADI

    dar es salaam, mkuu
  12. cecane

    MTAALAM WA KUANDAA PROPOSAL KWAAJILI YA MIRADI

    nipo dar es salaam, miradi ni kwaajili ya kijamii
  13. cecane

    MTAALAM WA KUANDAA PROPOSAL KWAAJILI YA MIRADI

    Heshima kwenu wakuu. Natafuta mtaalamu mwenye uzoefu wa kuandaa proposal kwaajili ya miradi mbalimbali ya kusaidia jamii. Kwa yeyote mwenye uzoefu naomba tuwasiliane. Asanteni wanajamvi.
  14. cecane

    Jumia ni matapeli au sio??

    nijuavyo wana option ya kulipa wakat unapokea mzigo wako. kwa ninavyowafahamu mimi siyo matapeli, weka oda, chagua ama wakuletee au ukauchukue mwenyewe kwenye pick up center zao. jana tu mi nimetoka kuchukua items zangu.
  15. cecane

    Ni hospitali gani naweza kupata urologist hapa dar?

    wasiliana na Doctors Plaza ya Morocco, unaweza kuwapigia kwa namba yao 0769533797. Pole sana kiongozi
  16. cecane

    Respect yourself

    ... ooh! how should it be anyway? Is this question correct grammatically?
Back
Top Bottom