Search results

  1. Andrew Kellei

    Watanzania wanaosoma Urusi huwa wanachezewa akili na Warusi?

    скучаешь да? не собирается ехать?
  2. Andrew Kellei

    ujenzi kwenye ardhi ya udongo mfinyanzi

    Inategemea ukubwa wa nyumba kwa maana ya kwenda juu kwa urefu na aina ya udongo. Udongo tifutifu wenye kiasi kidogo cha mfinyazi unashikamana ukipondwa.Mfinyanzi unakua kama ndio sementi yake. Kuepuka kupasua ufa, vijijini watu wanachanganya na nyasi.Nyasi zikishikamana na udongo nyumba inakua...
  3. Andrew Kellei

    ujenzi kwenye ardhi ya udongo mfinyanzi

    Inafaa kabisa Mkuu ndio maana kuna majengo maeneo ya ufukweni ambapo ni mchanga mwingi. Kikubwa lazima uhakikishe unakua na msingi imara ambao kama ukipata mawe ni mazuri, ila ukikosa uhakikishe unapata kokoto nzuri za zege. Mtafute mtaalamu akaangalie eneo iliajue kama huo mchanga unaweza...
  4. Andrew Kellei

    UDIKTETA: Hongera Sana TWAWEZA, TZ hakuna Udikteta! Ila, ukiwauliza wajinga, unategemea nini?

    Pasco Nimekuelewa sana hapo kwenye paragraph ya mwisho ambayo kwa mtazamo wangu ndicho ulitaka kutuambia.
  5. Andrew Kellei

    Waziri wa Maji: Mradi umekamilika, tatizo la maji Dar limekwisha rasmi

    Duh! Mi nilifikiri nakaa Dar Bwana!
  6. Andrew Kellei

    Picha Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakayotumika kwenye Ofisi

    Naomba kujuzwa jamani hicho chekundu kama ramani ya Africa kwenye koti lake mkono wake wa kushoto ni nini?
  7. Andrew Kellei

    Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

    Victor Wanyama alianzia soccer academy ya club gani ya EPL maana hiyo marufuku sijaisikia kwake.
  8. Andrew Kellei

    Nahitaji Cresta gx90 ama Corolla e100 used, bei isizidi 2.5 mil

    Kuna jamaa anahitaji gari ndogo yenye namba B au C isizidi milion 4 anahitaji gari haraka na cash ninayo mimi. Hiyo gari iwepo Dar. Mwenye nayo ani pm tufanye biashara
  9. Andrew Kellei

    Toyota Starlet inauzwa

    Kuna mtu anaitaka kwa 4.5m kama utaona inafaa njoo inbox
  10. Andrew Kellei

    Wassira: Warioba alinikimbiza CCM mwaka 1995

    Ina maana kwa sasa CCM imejipanga kuondoa mizengwe kwenye uteuzi na kutokufanya makosa? Kama ni ndio tunasubiria kuona kuanzia ngazi ya Uraisi maana kama hawajajipanga kulingana na Wassira, nchi itaenda Upinzani.
  11. Andrew Kellei

    Misaada ya China, Urusi, IRAN Oman na wengine kipindi hiki ni ya kuangalia kwa jicho la tatu

    Mkuu naona leo ni siku yako ya kuanzisha thread hapa jukwaani Bahati mbaya ziko shallow sana Unaonaje ungetuliza kichwa ukaleta habari moja yenye uchmbuzi ambayo great thinkers tungefurahia kuisoma?
  12. Andrew Kellei

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Mkuu Synthesizer, Big Up.Somo zuri sana na limesambaa sana maana mimi nilikutana nalo watsap. Hongera sana na Mungu akuwezeshe kuendelea kuelimisha jamii
  13. Andrew Kellei

    Mafuriko ya Urais yamekukwamisha Rasmi. Ikulu Sio yako tena

    Akili za kuambiwa changanya na zako!
  14. Andrew Kellei

    Mwongozo: Kwa wanaohitaji kadi za uanachama ACT-Tanzania

    Weka na takwimu kabisa mkuu ili nasisi tujiridhishe ni jinsi gani hawa jamaa wanafanya kazi ya CCM ya kubomoa Upinzani!
  15. Andrew Kellei

    Bungeni Leo - Aprili 1, 2015: Bunge laahirishwa ghafla, Muswada wa Vyombo vya Habari kusomwa!

    Badilisha hizo cable za sauti ya left uweke right na kinyume chake.Otherwise check kama audio kwenye TV imesetiwa "mono" au "stereo" mojawapo ndiyo ina sauti hapo hakika utapata sauti
  16. Andrew Kellei

    Jipatie iPad mpya kabisa aina ya Apple from USA

    Sasa kwanini usitumie hizo ipad kuweka picha tukaziona?
  17. Andrew Kellei

    Kupaua wakati wa mvua, Naomba ushauri

    Best way ni kupeleka hiyo ramani yako ya paa pale sales Alaf watakupimia na kukupa idadi na gharama ya bati(Kama umejenga kwa kutumia ramani na umefuata vipimo) Otherwise mtafute Quantity Surveyor,Archtect au Engineer akupe idadi ya bati hasa kwa mtu unayefanya planning ya ujenzi na gharama...
  18. Andrew Kellei

    Lipumba alibugi step, chadema tuwaitaje?

    I wish ningeelewa ulichoandika
  19. Andrew Kellei

    Kilele cha Kejeli: Kikwete Umenikwaza... "Barua ya Mkosaji"

    Mkuu nimecheka sana! Umenikumbusha ile makala ya Naronyo Kicheere alipokosa nafasi ya kuteuliwa kuwepo kwenye Bunge maalumu la katiba.
Back
Top Bottom