Search results

  1. L

    Kesi ya IGP Mahita na tuhuma za kuzaa na mtumishi wake wa ndani

    Huyu Mahita mambo mengine amejitakia mwenyewe. Mimi nafikiri ilikuwa ni kitendo cha yeye kukubaliana na huyo housegirl wake ili waweze kumlea mtoto. Sasa hivi kwanza kaaibika wakati ana uhakika kabisa mwana ni wake.
  2. L

    Siku salama ya tendo la ndoa

    Habari zenu wanaJamii wenzangu? Mimi ni Lucilla nimejiunga kwa mara ya kwanza. Ninawashukuru kama mtanipokea na kuelimishana mambo ya hapa na pale kuhusiana na maisha ya kila siku.
Back
Top Bottom