Hapa Rais Nyerere [ alikuwa keshastaafu urais] akijibu maswali ya waandishi wa habari huko Uganda.
Seems like he was always in his element when speaking to reporters/ journalists:
https://youtu.be/ldgW7lBYKkU?si=d-vHRKTNhV24DW6u
Sina hakika kama Samia ni anti-Magufuli.
Ila, kama ni anti-Magufuli, basi ilikuwa ni sahihi ilivyotokea.
Kwa nini umuweke karibu na wewe mtu anayekuhujumu?
Still, it’s all conjecture. If it’s not conjecture, then it’s a one-sided story.
Una uhakika kuwa Samia ndo kawapa green light Makamba na Mabeyo kusema waliyosema au unahisi tu kuwa kawatuma waseme hivyo?
For all we know, she could also have been an anti-Magufuli
That’s just your read of it.
And looks like you’re reading way too much into it.
Mabeyo hakusema yote hayo unayoyasema wewe.
Kama nilibyosema jana, ingependeza kama angefanya mahojiano yenye follow-up questions.
Tatizo watu wenyewe wanafanya vitu vingi viwe siri bila ulazima wowote ule.
Na...
Popote pale nchini wangeonekana wanapiga kazi, hata ingekuwa ni Gambosi.
Either way, mengi mnayojadili hapa ni speculations tu.
Unless labda muwe mmeambiwa na Samia mwenyewe.
Labda kulikuwa na mkakati wa kuonyesha kwamba serikali ipo na inaendelea kupiga kazi kama kawaida na ndo maana Samia alikuwa yuko Tanga kikazi…..
Labda walipiga mahesabu yao wakaona kwamba itakuwa vyema viongozi waandamizi wakionekana wanafanya kazi kuliko kutoonekana maana tayari kulikuwepo na...
Mabeyo kuna mengi hakusema pia.
Lakini na waandishi waliokuwa wanamhoji nao hawakuwa wanauliza follow up questions.
Sijui kwa nini hawakuuliza kwa nini mke wake hakuwepo hapo wodini.
Kwanza sikusikia hata maswali waliyoyauliza. Ni kama vile Mabeyo alikuwa anaongea yeye tu.
Anyway, pasipo na...
Uhaba wa taarifa unawafanya watu wakisie sana.
Sijui lawama nyingi ziende kwa nani, ila serikali kwa ujumla wake haiwezi kuzikwepa.
Hivi inajulikana kwa uhakika kwa nini mke wake hakuwepo wakati anavuta pumzi ya mwisho?
Vipi kama alikuwa kaenda tu nyumbani kupumzika kidogo na kuangalia mambo...
Hiyo ya wauza madafu ilinichekesha sana aisee.
Unajua kuna mystique flani hivi ambayo watu wa usalama wa taifa bongo, wanayo.
Sijui hata sababu ya hiyo mystique ni nini hasa.
Si ajabu hata wewe Kiranga kuna watu humu wanakuona usalama wa taifa kisa tu huwa unahoji uwepo na nguvu za Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.