Search results

  1. D

    Tahadhari: Mlimani city eneo hatari kwa usalama wa raia

    Huu ni mfano tuu wa maisha ambayo watanzania tunayaendea kwa kuimarisha ubepari na kuwatuuza mabepari kama mlimani city mnowaita kwa jina la kuwapamba eti wawekekezaji. Hili ni eneo la matumizi kwa wenye nazo wasio stahili kuchagnyikana na sisi kwani sisi ni masikini na maisha yetu ni ya...
  2. D

    kampuni za simu zinatuibia(kodi)

    watu wa namna hii wanatakiwa Tanzania maana watanzania ni sisi na mali za Tanzania tumepewa sisi tufaidi pamoja na vizazi vijavyo. Lazima tuwajibike kuhoji na tusichoke wala kutishika. Kwani huwezi kuhama nyumba kwa sababu tu nyoka ameingia ndani ya nyumba. Hili ni shirika mojawapo kama kewli...
  3. D

    Je, kanisa la mhubiri Christopher Mwakasege liko wapi?

    Hakika Tanzania inaendelea kujengwa na wenye mioyo migumu wachache na kuliwa na wenye meno wachache wakati wengi wa watanzania wameduwaa wakiwa hawaelewi kinachotokea. Utamaduni wa kazi na uthamani wake kujenga ubinadamu umepotezwa. Jawabu tufanye kazi n a kumuweka Mungu mbele.Hatuhitaji...
Back
Top Bottom