Search results

  1. Shekizongoro

    Naliona anguko la Diamond linakuja kwa kasi

    Diamond anajua mashabiki, TV, radio, mapromota na waandaaji wa tuzo wanataka nini, wapi na lini. ndo anafanya. Kwa hiyo Mziki wake unapata airtime, nakiwania tuzo anapata. Na Vanessa anafanya hivohivo. Kwa sasa hakuna jinsi ya kumstop dai; wasanii wamtumie kama yeye alifanya kwa AY. Sio...
  2. Shekizongoro

    Hali yazidi kuwa mbaya Burundi, kambi ya jeshi yavamiwa na waasi

    Warundi naona mnatafuta kichaka. Kama tatizo ni Kagame 1. Kwanini ameamua kufanya hivo kipindi hiki wakati Nkrunzinza anaongeza kipindi cha 3 na hakufanya hivo wakati anaongeza kipindi cha 2? 2. Kama Kagame anaivuruga Burundi kiasi hicho, hamuoni kwamba Nkrunzinza ni President aliefail...
  3. Shekizongoro

    Devotha Minja wa ITV Morogoro

    Aisee; na Spensa angepata viti maalum kumbe?
  4. Shekizongoro

    Elections 2015 Mgogoro wa UKAWA kuhamia bungeni, Antropia Theoneste akwaa Viti Maalum

    Vigezo vya kuwa mbunge maalum ni vipi? Huyo Antropia hana hivyo vigezo?
  5. Shekizongoro

    Watanzania Wote Bila Kujali Itikadi za Vyama...

    Kero yangu ni katiba; nataka katiba ya Mzee J. S. Warioba
  6. Shekizongoro

    Prof. Kitila Mkumbo, muogope Mungu!

    Kijijini kwetu Lowassa alimgaragaza saana Pombe
  7. Shekizongoro

    VOA On Tanzania election--Straight Talk Africa

    Mi waliniletea chandarua; huwa nawakumbuka saana
  8. Shekizongoro

    VOA, Kipindi cha Straight Talk Africa, Lowassa will win

    Hawa nyumbu watafana kumpa kura mtu mmoja
  9. Shekizongoro

    Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

    Mnaiga hadi comment. Ahahaha
  10. Shekizongoro

    Sijawahi mwelewa Sumaye tangu akiwa CCM mpaka leo hii mkutanoni Mbeya

    Ukiwa na akili ndogo usihangaike na akili kubwa
  11. Shekizongoro

    Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

    Dah.! Ngoja tudeal na CCM kwanza hiyo tar 25
  12. Shekizongoro

    Maajabu mengine: Walimu walazimishwa kwenda kumuaga Kikwete Uwanja wa Taifa

    Rais ni Amiri jeshi Rais sio afisa elim. Kumbe ulidhani baada ya kuagwa na majeshi wanafata walim, madaktari, wahasibu, mahakimu mpaka makarani kwa gwaride
  13. Shekizongoro

    Ukweli ni kwamba Magufuli alikataa kata kata boti za Azam kwenda ziwa Victoria

    Unaweza kuwa na point; Lakini hazikuwa Meli, zilikuwa boat. Zililetwa kupitia Kenya, nakumbuka mi nimezitumia 2004/05. Zile boat zilifanya vzr mwanzoni na zilionekana kuwa mkombozi maana meli husafiri usiku na kwa mda mrefu. Badae zilianza kutumia mda mrefu saana njiani. Pia kipindi cha mwezi...
  14. Shekizongoro

    Kumbe hata barabara ya lami kwa Sumaye imejengwa na Magufuli

    Ni kweli make nasikia alikuwa anakatwa posho zake
  15. Shekizongoro

    Picha: Wasanii wa UKAWA wakieneza ujumbe wa "Mabadiliko" Mwanza

    Lowassa alikuwa zake Dar.! Hapakuwa na mhutubiaji yeyote. Zaidi ya utambulisho. Ila watu mamia kwa maelfu walifurika
Back
Top Bottom