Search results

  1. John mungo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwa hapa ilipo fikia operation imesha mshinda ila anacho kifanya ni kutafuta uchochoro wa kukimbilia, ukiona rais anafukuza watendaji wakuu jeshini jua maiyasha fika shingoni.
  2. John mungo

    FT: Wydad AC 1 - 0 Simba SC | CAFCL | Stade de Marrakech | 09.12.2023

    Mchezo usiingize na imani ,dini za watu .futa hii
  3. John mungo

    Ayoub Lakred mnamchukulia poa atawashangaza!

    Huyu mwamba akichanganya aisee ni noma sana,yupo fiti alitokea mmoja hivii ilikua iwe goli ila nilimsifu sana kwa kweli,sema TZ wabaguzi sana huenda usione huo ubaguzi ikiwa na wewe unavirusi hivyo vya ubaguzi
  4. John mungo

    Kilimo cha mboga mboga Morogoro

    Mboga nyingi zinalimwa hapahapa mjini Moro kama mchicha, sukumawiki, spinach, tembele, vyote hivyo vinalimwa hapahapa mjini, kama unahitaji eneo la kupanda mchicha na vitu vidogovidogo. 0655212301
  5. John mungo

    Yaliyojificha juu ya historia ya hifadhi ya taifa Arusha na maajabu ya vivutio vyake (episode 2)

    Unahitaji wanyama wengi kwani unakwenda kununua useme utakosa machaguo mengi, isitoshe mleta mada kaongelea sana mazingira nasio wanyama.Aisee wabongo tunakurupuka!.
  6. John mungo

    Data za CAF kwa kipindi cha miaka mitano '5yearsranking'

    Hio nafasi ya 18 kaitafuta kwa miaka zaidi ya 20, usikurupuke no mtego huo
  7. John mungo

    Hivi Mwandishi wa ITV Ufoo Saro yu wapi?

    Ni bora hata nayeye angekufa halafu maza ake apone ili ajutie kitu alicho fanya kimegharim maisha ya mwanae. Nimbaya sana kushiriki dhambi na motto wako ni laana.
  8. John mungo

    TCRA: Mkoa wa Rukwa ni Kitovu cha matukio ya uhalifu wa kimtandao nchini

    Hakuporwa SMG, aliibiwa baadhi ya pesa chumba no 125 hotel ______
  9. John mungo

    Natafuta shamba la kukodi Morogoro

    Kama bado nione PM shida imekwisha.
  10. John mungo

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Kitu kimoja muhimu wekeni bench za kukalia kwenye vituo vyote, hii changamoto nimeishuhudia sio maramoja ,hasa DIT, MAGOMENI KAGERA ,MOROCCO, KANISANI, huku kote nimekutana na changamoto ya mabasi kuchelewa kufika kituoni ama kupitiliza yakiwa yame jaza.Kwahio watu wanasimama hadi saa nzima...
  11. John mungo

    Mjue Jonathan Lee Riches, mtu aliyeanzisha mashtaka mengi duniani na kujipatia mamilioni

    Aliwahi kusalimiwa mara 1, ila akamshitaki alie msalimia kwa kusababisha kumpotezea wazo lake la pesa dollar 5000
  12. John mungo

    Chacha Maboto, Mbunge wa Bunda (CCM): Lugha ya kwenye Mkataba wa DP World sikuielewa, mnisamehe

    Kuna jambo anataka kulituma kwenye vyombo vya habari.
  13. John mungo

    Elon Musk: My wife is a Robot

    Namsubiria mchina kwenye copy najua wakichina atafika kwenye mia6 ,manake kwanza ncheke maana bot wakichina anaweza kukata moto wakati unapiga mambomambo Mara low betri please charge
  14. John mungo

    Chanzo cha mabasi ya "No Challenge" kuitwa "Tashriff"

    Kampuni ya mabasi air shengena ilibadili jina mara 3, baada ya kupata ajali kubwa mara kwa mara zilizo sababishwa kufungiwa kwa kampuni ,. 1 air shengena ilipata ajali kwa kugongana na treni Kilimanjaro wilaya ya mwanga ,ikabadilishwa jina kuwa NO CHALLENGE, nayo ikapata ajali kubwa sana...
  15. John mungo

    Nionyeshe couple moja ya Mhindi na Mwafrika hapa Tanzania nami nikuoneshe couple 1000 za Waarabu na Waafrika

    Baba yangu mdogo ameoa muhindi ,wana zaidi ya miaka 30 wana watoto 3,mmoja tumezika mwaka Jana kwa changamoto ya uvico. Wapo mpwapwa..
  16. John mungo

    Je, kuna mwanadamu aliyewahi kuwa na nguvu, mamlaka na miujiza kumzidi Nabii Issa?

    Yesu na Issa ni watu wawili tofaut.Hakuna binadamu alie zaliwa Mara 2.. Issa kazaliwa chini ya mtende. Yesu kazaliwa kwenye zizi lang'ombe.
Back
Top Bottom